Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zinatumia umeme zaidi ya Mkoa wa Mtwara

Ghorofa nne za kisasa zilizopo Dar es Salaam, zinatumia kiasi kikubwa cha umeme kuliko ule unaotumiwa katika Mkoa wa Mtwara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 300 WA MKOA WA MTWARA WAJIUNGA NA NSSF

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeandikisha wakulima wa Korosho zaidi ya 300 mkoani mtwara kwenye kampeni ijulikanayo kama NSSF Kwanza ambayo ilifanyika mahususi ili kuwafikia watu ambao wako kwenye sekta isiyo rasmi.
Kampeni hiyo yenye malengo ya kufikia umma wa Watanzania ambao haujafikiwa na elimu ya Hifadhi ya jamii, Kuwaandikisha kujiunga na NSSF ili kuongeza wigo wa wanachama na pia Kupata mrejesho wa huduma zetu kutoka kwa wanachama wa mfuko.
Imemaliza mkoani Mtwara na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtwara washushiwa umeme hadi Sh27,000

Serikali imetangaza neema kwa vijiji vinavyopitiwa na bomba la gesi ambavyo vipo mkoani Mtwara na Lindi, sasa wataunganishiwa kwa Sh27,000.

 

10 years ago

Habarileo

Gesi zaidi yagundulika Mtwara

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneWIZARA ya Nishati na Madini iko kwenye mchakato wa kukamilisha uandaaji wa sheria tatu, zitakazowasilishwa bungeni wakati wowote, zenye lengo la kuweka uwazi katika maeneo yote yanayohusu mikataba ya uchimbaji wa madini na gesi.

 

11 years ago

Michuzi

UWANJA WA NDEGE MTWARA KUIMARISHWA ZAIDI

 Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara kwa ajili ya kujionea maendeleo ya uwanja huo.  Mmoja wa viongozi wa Timu Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (aliyevaa fulana nyeusi) akihoji uimara wa sehemu ya kutulia ndege wakati walipofanya ziara ya kujionea maendeleo ya Uwanja wa Ndege wa Mtwara.  Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mtwara, Mhandisi Mugasa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataaarifu wateja wake wa Mkoa wa  Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:      16/07/2014, 17/07/2014 NA 19/07/2014MUDA:           03:00Asubuhi – 12 Jioni                                                                                      SABABU:      Kubadilisha nguzo zilizooza maeneo ya Feri Kigamboni.                            MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:Feri, Tungi, Machava, Magogoni, Navy jeshini, Pikoli  na maeneo...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MTWARA AFUNGUA MKUTANO WA MAENDELEO YA MISITU

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendego akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkutano wa nne wa wadau wa sekta ya misitu unaolenga kuangazia masuala ya usimamizi shirikishi ya misitu vijijini ulioandaliwa na Taasisi ya UONGOZI mjini Mtwara. Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma Ally, Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki Bi. Gladness Mkamba na Mkuu wa Utafiti na Sera wa Taasisi ya UONGOZI Bw. Denis Rweyemamu. Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki Bi. Gladness Mkamba akitoa mada kuhusu...

 

9 years ago

Michuzi

Mkoa wa Kigoma kunufaika na Umeme wa nishati ya jua wa MW 5

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya NextGen Solawazi Ltd ya kutoka Marekani, Bw. Mayank Bhargava. Katika mazungumzo hayo ambayo yalifanyika katika Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Bhargava alimjulisha Balozi Mulamula kuwa kampuni hiyo imeshaanza kazi ya kufunga mitambo ya kuzalisha umeme wa nishati ya jua wa MW 5 kwa ajili ya mkoa wa Kigoma. Aidha, alitoa taarifa kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za umeme kushuka zaidi Julai

>Kuanzia Julai mwaka huu Watanzania wataanza kupata umeme wa uhakika na usiyo kuwa na gharama baada ya kuanza kazi kwa mtambo wa kuzalisha umeme wa gesi, utakaoingiza kwenye gridi ya Taifa megawati 150.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani