Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gesi zaidi yagundulika Mtwara

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneWIZARA ya Nishati na Madini iko kwenye mchakato wa kukamilisha uandaaji wa sheria tatu, zitakazowasilishwa bungeni wakati wowote, zenye lengo la kuweka uwazi katika maeneo yote yanayohusu mikataba ya uchimbaji wa madini na gesi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa

Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.

Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...

 

11 years ago

Mwananchi

Gesi Mtwara kero kwa wavuvi

Utafutaji wa mafuta katika kina kirefu cha bahari mkoani Mtwara bado unaendelea licha ya baadhi ya makampuni kuendelea kubaini gesi badala ya mafuta.

 

10 years ago

Habarileo

RC Mtwara ahofia hujuma katika gesi

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph SimbakaliaMKUU wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia ameeleza wasiwasi wa nchi kuhujumiwa iwapo biashara ya gesi itaachwa mikononi mwa wageni pekee.

 

9 years ago

Mwananchi

Mradi wa gesi Mtwara-D’Salaam wakamilika

Mradi wa kuchakata gesi asilia kutoka Madimba Mtwara-Songosongo hadi Dar es Salaam umekamilika na kuwezesha uzalishaji umeme katika mitambo ya Kinyerezi, Ubungo, Tegeta na kuingizwa kwenye gridi ya Taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Uchochezi mpya wa gesi Lindi, Mtwara washtukiwa

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoKATIKA hatua isiyo ya kawaida Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amezushiwa kuandika meseji za simu za mkononi zenye mwelekeo wa kuwagawa wakazi wa mikoa ya Lindi na Mtwara katika kunufaika na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka mikoa hiyo hadi Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda ‘kuinadi’ gesi ya Mtwara, mafuta Qatar

Waziri Mkuu Mizengo Pinda anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Qatar na kazi kubwa ni kutafuta wawekezaji katika sekta ya mafuta na gesi pamoja na maeneo mengine ya kiuchumi ikiwemo utalii na fursa za biashara.

 

11 years ago

Mwananchi

Hali ya Mtwara kiuchumi baada ya shughuli za gesi

Wananchi mkoani Mtwara wanalalamikia ugumu wa maisha baada ya kuanza shughuli za gesi wakisema imechangia gharama za maisha kupanda.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUZINDUZUA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA

 Mkurugenzi Mtendaji TPDC, Dkt. James Mataragio akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa miundombinu gesi asilia, Miundombinu hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika eneo la Madimba Mkoani Mtwara tarehe 10 Oktoba 2015. Sehemu ya Kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichopo eneo la Madimba Mkoani Mtwara, eneo ambalo uzinduzi rasmi unatarajia kufanyika tarehe 10 Oktoba 2015.Sehemu ya...

 

10 years ago

Michuzi

maonesho ya wadau wa Gesi na Oil yaendelea mkoani Mtwara

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile akizungumza na wafanyakazi wa benki ya Stanbick jana wakati alipotembelea banda lao katika maonesho ya wadau Gesi na Oil yanayoendelea mkoani Mtwara. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Wilman Ndile akizungumza na Ofisa wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali TSN, Francis Kihinga wakati walipokutana kwenye mkutano wa wadau wa gesi unaoendelea mkoani Mtwara, TSN ni moja kati ya wadhamini wa mkutano huo.Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye maonesho ya bidhaa za wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani