Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


maonesho ya wadau wa Gesi na Oil yaendelea mkoani Mtwara

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile akizungumza na wafanyakazi wa benki ya Stanbick jana wakati alipotembelea banda lao katika maonesho ya wadau Gesi na Oil yanayoendelea mkoani Mtwara. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Wilman Ndile akizungumza na Ofisa wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali TSN, Francis Kihinga wakati walipokutana kwenye mkutano wa wadau wa gesi unaoendelea mkoani Mtwara, TSN ni moja kati ya wadhamini wa mkutano huo.Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye maonesho ya bidhaa za wadau...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA kiwanda cha kuchakata gesi asilia eneo la Madimba Mkoani Mtwara

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea taarifa fupi ya kiwanda cha kuchakata gesi asilia eneo la Madimba Mkoani Mtwara kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, James Mataragio (kulia) kabla ya kuzindua kiwanda hicho, katikati ni Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kiwanda cha kuchakata gesi asilia eneo la Madimba Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki.

 Rais Kikwete...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa wanajamii kuhusiana na Uundwaji wa mkakati wa mawasiliano ya kitaifa wa sekta ya Mafuta na Gesi wafanyika leo Mkoani Mtwara

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mwantum Mahiza akifungua Mkutano wa wanajamii kuhusiana na Uundwaji wa mkakati wa mawasiliano wa kitaifa wa sekta ya Mafuta na Gesi Nchini, Mkutano ambao umewakusanya wadau mbalimbali wa mikoa ya Lindi na Mtwara, Mkutano huo unafanyika Mkoani Mtwara hivi leo.
Wadau mbalimbali pamoja naKamati za Ulinzi na Usalama Lindi na Mtwara wakifuatilia kwa makini Mjadala unaoendelea hapa Mkoani Mtwara kujusiana na Majadiliano na matarajio ya Sekta ya Mafuta na Gesi, katika uundwaji...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MTWARA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA, MKOANI LINDI

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia(aliyevaa Kombati) akiangalia mazao ya chakula yanayolimwa  katika Magereza mbalimbali hapa nchini kama yanavyoonekana katika picha. Jeshi la Magereza katika kutekeleza jukumu lake la kuwalinda na kuwarekebisha Wafungwa huwapatia pia mbinu na Stadi za Kilimo bora ili waweze kuzitumia wanapomaliza vifungo vyao huko katika jamii zao. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia akifurahia ubora wa bidhaa za ngozi...

 

9 years ago

Michuzi

SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA BAHARI MKOANI MTWARA NA KUTOA ELIMU KWA MABAHARIA NA WAVUVI KUHUSU UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Ofisa Mwandamizi Matekelezo wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Frank Kilimba akifanunua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bi. Halima Dendegu, wakati wa maonesho ya Siku ya Bahari yaliyofanyika mkoani Mtwara hivi karibuni.Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la SSRA wakichukua vipeperushi mbalimbali vya SSRA katika monyesho hayo.Maofisa wa SSRA wakitoa maelezo kuhusu shughuli mbalimbali za mamlaka hiyo, kwa wanachi waliohudhuria maonesho ya Siku ya...

 

9 years ago

StarTV

Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa

Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.

Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...

 

10 years ago

GPL

MAONESHO YA 5 YA HOMES EXPO YAENDELEA MLIMANI CITY

Sehemu ya Mapokezi ya Maonesho ya Tanzania Home Expo. Mmoja wa wahudumu wa maonesho ya Biashara (kushoto) akielekeza baadhi ya wananchi waliofika katika maonesho hayo.…

 

10 years ago

Habarileo

Gesi zaidi yagundulika Mtwara

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneWIZARA ya Nishati na Madini iko kwenye mchakato wa kukamilisha uandaaji wa sheria tatu, zitakazowasilishwa bungeni wakati wowote, zenye lengo la kuweka uwazi katika maeneo yote yanayohusu mikataba ya uchimbaji wa madini na gesi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani