Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gesi Mtwara kero kwa wavuvi

Utafutaji wa mafuta katika kina kirefu cha bahari mkoani Mtwara bado unaendelea licha ya baadhi ya makampuni kuendelea kubaini gesi badala ya mafuta.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa

Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.

Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...

 

9 years ago

Michuzi

SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA BAHARI MKOANI MTWARA NA KUTOA ELIMU KWA MABAHARIA NA WAVUVI KUHUSU UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Ofisa Mwandamizi Matekelezo wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Frank Kilimba akifanunua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bi. Halima Dendegu, wakati wa maonesho ya Siku ya Bahari yaliyofanyika mkoani Mtwara hivi karibuni.Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la SSRA wakichukua vipeperushi mbalimbali vya SSRA katika monyesho hayo.Maofisa wa SSRA wakitoa maelezo kuhusu shughuli mbalimbali za mamlaka hiyo, kwa wanachi waliohudhuria maonesho ya Siku ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wavuvi: Mradi wa gesi unatupunguzia samaki baharini

>Katika kipindi cha zaidi ya miaka miwili sasa upatikanaji wa samaki wa kitoweo katika pwani ya Bahari ya Hindi, eneo la Mkoa wa Mtwara, umekuwa mgumu.

 

11 years ago

Mwananchi

Ugawaji pembejeo Mtwara kero tupu, wakulima walia

“Wakulima wa korosho tunaweza kuboresha uchumi wetu kama Serikali itakuwa na nia madhubuti ya kukuza na kuwekeza katika kilimo.”

 

9 years ago

Michuzi

SYMBION POWER YAWA YA KWANZA KUTUMIA GESI KUTOKA MTWARA KUZALISHA UMEME KWA KUTUMIA BOMBA JIPYA LA KM 487 MJINI DAR ES SALAAM

  DAR ES SALAAM, Tanzania. Tarehe 21 Septemba 2015 -- Symbion Power yenye tawi lake maeneo ya Ubungo leo imetangaza kuwa imefanikiwa katika majaribio ya kutumia gesi asilia katika mitambo yake . Gesi inapatikana  Ghuba ya  Mnazi iliyo karibu na Mtwara Kusini mwa Tanzania. 
Kwa zaidi ya Mwaka mmoja sasa ; Mitambo hii yenye uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati 120 haikuweza kufanya uzalishaji wowote kutokana na ukosefu wa gesi asilia kama chanzo cha nishati Tanzania


“Kwa mara nyingine Symbion...

 

10 years ago

Habarileo

Gesi zaidi yagundulika Mtwara

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneWIZARA ya Nishati na Madini iko kwenye mchakato wa kukamilisha uandaaji wa sheria tatu, zitakazowasilishwa bungeni wakati wowote, zenye lengo la kuweka uwazi katika maeneo yote yanayohusu mikataba ya uchimbaji wa madini na gesi.

 

10 years ago

Habarileo

RC Mtwara ahofia hujuma katika gesi

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph SimbakaliaMKUU wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia ameeleza wasiwasi wa nchi kuhujumiwa iwapo biashara ya gesi itaachwa mikononi mwa wageni pekee.

 

9 years ago

Mwananchi

Mradi wa gesi Mtwara-D’Salaam wakamilika

Mradi wa kuchakata gesi asilia kutoka Madimba Mtwara-Songosongo hadi Dar es Salaam umekamilika na kuwezesha uzalishaji umeme katika mitambo ya Kinyerezi, Ubungo, Tegeta na kuingizwa kwenye gridi ya Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani