Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mradi wa gesi Mtwara-D’Salaam wakamilika

Mradi wa kuchakata gesi asilia kutoka Madimba Mtwara-Songosongo hadi Dar es Salaam umekamilika na kuwezesha uzalishaji umeme katika mitambo ya Kinyerezi, Ubungo, Tegeta na kuingizwa kwenye gridi ya Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Hatimaye Gesi Asilia kutoka Mtwara yafika Dar es salaam

 Mtaalam kutoka Kampuni ya “CPP” (Mkandarasi wa Mradi wa Gesi Asilia) (Kulia) akitoa maelezo ya usalama kabla ya wakuu wa taasisi za TPDC na TANESCO kuingia katika kituo cha kupokea gesi asilia Kinyerezi, jijini Dar es Salaam, kituo hicho tayari kimeanza kupokea gesi asilia kutoka kiwanda cha kuchakata gesi  Madimba Mkoani Mtwara.

 Mtaalam kutoka Kampuni ya Mhandisi Mshauri Muelekezi (WorleyParsons), Allen Slowe (kulia) akitoa maelezo ya jinsi ya zoezi zima la kupokea gesi asilia...

 

9 years ago

StarTV

Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa

Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.

Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi kituo cha kuchakata gesi Madimba wakamilika

MwananchiMtwara. Kituo cha kuchakata gesi cha Madimba mkoani Mtwara kimekamilika kwa asilimia 97 na kinatarajiwa kuzalisha umeme wa megawati 350 baada ya miezi miwili ijayo.

 

9 years ago

Michuzi

SYMBION POWER YAWA YA KWANZA KUTUMIA GESI KUTOKA MTWARA KUZALISHA UMEME KWA KUTUMIA BOMBA JIPYA LA KM 487 MJINI DAR ES SALAAM

  DAR ES SALAAM, Tanzania. Tarehe 21 Septemba 2015 -- Symbion Power yenye tawi lake maeneo ya Ubungo leo imetangaza kuwa imefanikiwa katika majaribio ya kutumia gesi asilia katika mitambo yake . Gesi inapatikana  Ghuba ya  Mnazi iliyo karibu na Mtwara Kusini mwa Tanzania. 
Kwa zaidi ya Mwaka mmoja sasa ; Mitambo hii yenye uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati 120 haikuweza kufanya uzalishaji wowote kutokana na ukosefu wa gesi asilia kama chanzo cha nishati Tanzania


“Kwa mara nyingine Symbion...

 

10 years ago

Vijimambo

TPDC YATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA KUTOKA MADIMBA MTWARA,SONGO SONGO LINDI NA PWANI HADI DAR ES SALAAM.

Viongozi mbalimbali wa TPDC wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka Kushoto ni Kamishna Msaidizi-GAS, Mhandisi Norbert Kashozya , Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile, Mwenyekiti wa Bodi TPDC, Michael Mwande, Kaimu Meneja Mkuu wa GASCO, Mhandisi Kapuulya Musomba na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleleo ya Mafuta Gesi, Mhandisi, Joyce Kisamo. Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC kuongea na waandishi wa habari katika Mkutano wa Taarifa ya Utekelezaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usanifu mradi wa maji Ziwa Victoria wakamilika

SERIKALI inaendelea kutafuta fedha za utekelezaji wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi Tabora baada ya usanifu wa kina kukamilika. Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, alieleza hayo bungeni...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa maji wa Sh mil 692 Kibati wakamilika

WANANCHI wapatao 10,000 wa vijiji vya Salawe na Hoza, Kata ya Kibati, wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro wameanza kupata huduma ya maji safi na salama kutokana na kukamilika kwa ujenzi mradi wa maji uliogharimu Sh milioni 692.1.

 

5 years ago

Michuzi

UCHIMBAJI ENEO LA KINA CHA LANGO LA KUINGILIA MAJI KWENYE MITAMBO WAKAMILIKA KATIKA MRADI WA BWAWA LA KUFUA UMME LA MWALIMU NYERERE

UJENZI wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari mwaka 2022.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Msimamizi wa Ujenzi wa njia za maji pamoja na bwawa kwenye mradi huo Mhandisi Dismas Mbote amesema utekelezaji wa njia hiyo ulianza Mwezi Oktoba 2019 na kuongeza kazi ya uchimbaji wa lango imekamilika kwa kuchimbwa kina cha mita 53 ambapo hivi sasa kazi inayoendelea ni uondoaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani