Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataaarifu wateja wake wa Mkoa wa  Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:      16/07/2014, 17/07/2014 NA 19/07/2014MUDA:           03:00Asubuhi – 12 Jioni                                                                                      SABABU:      Kubadilisha nguzo zilizooza maeneo ya Feri Kigamboni.                            MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:Feri, Tungi, Machava, Magogoni, Navy jeshini, Pikoli  na maeneo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASTAAFU WA NSSF MKOA WA TEMEKE WAAGWA RASMI

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa shirika hilo kutoka ofisi ya mkoa wa Temeke.
Meneja Kiongozi mpya wa Ofisi ya NSSF Mkoa wa Temeke, Chedrick Komba akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa NSSF. Mstaafu wa NSSF, Brahan Newa kutoka Kitengo cha Takwimu akisalimiana na mstaafu mwenzake, aliyekuwa Meneja Kiongozi, Ofisi ya NSSF mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali wakati wa hafla ya...

 

9 years ago

Habarileo

Temeke Queens yapigwa 4-0 Ligi Mkoa Dar

TIMU ya soka ya Mburahati Queens imeibuka kidedea dhidi ya Temeke Queens baada ya kuigaragaza kwa 4-0 katika mchezo wa Ligi ya Wanawake mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

KAMANDA MPYA WA KIPOLISI MKOA WA TEMEKE AKIWA OFISINI

Kamanda mpya wa Mkoa wa Polisi Temeke, Andrew Masatya Satta akiwa ofisini kwake alikutwa na mpiga picha wetu jana Makongoro Oging'  amechukua nafasi ya Kihenya M. Kihenya aliyeamishiwa makao makuu ya polisi jijini Dar. Muonekano wa Kamanda huyo kwa karibu. (PICHA: MAKONGORO…

 

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA KIPOLISI TEMEKE

 Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Barabarani,Thabeet Massa akimkaribisha mgeni rasimi katika mazimosho ya wiki ya nenda kwa Barabarani jiji Dar es Salaam Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke,Endrew Satta akihutubia wananchi juu ya kuedesha  kwa    salama okoa maisha katika harakati za  wiki ya nenda kwa Barabarani jiji Dar es Salaam Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke,Endrew Satta akiwakabidhi vyeti madereva bodaboda waliofuzu mafuzo ya Pikipki katika wiki ya nenda kwa Barabarani...

 

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA MKOA WA KIPOLISI TEMEKE

Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Endrew Satta akiwakabidhi vyeti baadhi ya madereva wa bodaboda waliofuzu mafuzo ya Pikipiki katika wiki ya nenda kwa Barabarani iliyofanyika katika viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam leo. Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkowa wa Temeke, Endrew Satta akitembelea mabanda ya maonyesho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani iliyofanyika katika viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam leo.Umoja wa waendesha  Pikipiki  Temeke (UWAPITE)...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF MKOA WA TEMEKE YAWAPA SEMINA WAAJIRI WAKE KUHUSIANA NA MOBORESHO YA HUDUMA WANAZOTOA

Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Mkoa wa NSSF Temeke kwa Waajiri wake ambayo ilihudhuriwa na Maofisa Rasirimali Watu pamoja na Wahasibu kwa ajili ya uelewa kuhusu moboresho ya formula mpya ya pensheni ambayo imetolewa na SSRA pamoja na huduma zilizoboreshwa kwa kiwango cha Kimatifa kwa NSSF Temeke (ISO). Semina hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam. Wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius...

 

5 years ago

Michuzi

VIFO VYA WAJAWAZITO KIPINDI CHA KUJIFUNGUA VYAPUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA TEMEKE



 Waziri Ummy Mwalimu akiwajulia hali akina mama wajawazito waliolazwa kwenye wodi ya wazazi ambapo vifo vitokanavyo na uzazi hosputalini hapo vimepungua.Waziri wa Afya, Maendeleo, Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akikagua miundombinu ya hospitali ya rufaa ya mkoa Temeke ,Waziri Ummy amempongeza Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo.Dkt....

 

11 years ago

Mwananchi

Zinatumia umeme zaidi ya Mkoa wa Mtwara

Ghorofa nne za kisasa zilizopo Dar es Salaam, zinatumia kiasi kikubwa cha umeme kuliko ule unaotumiwa katika Mkoa wa Mtwara.

 

9 years ago

Michuzi

Mkoa wa Kigoma kunufaika na Umeme wa nishati ya jua wa MW 5

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya NextGen Solawazi Ltd ya kutoka Marekani, Bw. Mayank Bhargava. Katika mazungumzo hayo ambayo yalifanyika katika Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Bhargava alimjulisha Balozi Mulamula kuwa kampuni hiyo imeshaanza kazi ya kufunga mitambo ya kuzalisha umeme wa nishati ya jua wa MW 5 kwa ajili ya mkoa wa Kigoma. Aidha, alitoa taarifa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani