Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIFO VYA WAJAWAZITO KIPINDI CHA KUJIFUNGUA VYAPUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA TEMEKE



 Waziri Ummy Mwalimu akiwajulia hali akina mama wajawazito waliolazwa kwenye wodi ya wazazi ambapo vifo vitokanavyo na uzazi hosputalini hapo vimepungua.Waziri wa Afya, Maendeleo, Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akikagua miundombinu ya hospitali ya rufaa ya mkoa Temeke ,Waziri Ummy amempongeza Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo.Dkt....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Vifo kwa wajawazito, watoto vyapungua Kigoma

Kasi ya vifo vinavyotokana  na uzazi  kwa wajawazito na  watoto vimepungua mkoani Kigoma kutokana na kuanzishwa na kutekelezwa kwa mpango mkakati wa huduma ya upasuaji katika vituo vya afya vijijini.

Mpango huo umewezesha wanawake wengi wajawazitio kuondokana na adha ya kusafirishwa umbali mrefu kufuata huduma hiyo pindi inapohitajika katika hospatali za wilaya ama mkoa.

Kwa mujibu wa taarifa za Afya mkoani Kigoma, wanawake 62 walipoteza maisha mwaka 2014 kutokana na matatizo ya uzazi na...

 

9 years ago

Habarileo

Hospitali Mbeya yapunguza vifo vya wajawazito

HOSPITALI ya Rufaa Kanda ya Mbeya imefanikiwa kupunguza vifo vya wajawazito kutoka sita hadi saba kwa mwezi, katika kipindi cha mwaka 2008 na 2012 na kufikia vifo viwili hadi vinne kati ya mwaka 2012 hadi mwaka jana.

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU KILICHOJENGWA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA

   Jengo la ujenzi wa kituo cha kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma.  Sehemu ya jengo la ujenzi wa kituo cha kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma  Sehemu ya jengo la ujenzi wa kituo cha kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa NHIF, Michael Mhando akizungumza wakati wa makabidhiano ya  kituo cha kisasa...

 

10 years ago

Habarileo

Vifo vya uzazi Mbinga vyapungua

SERIKALI wilayani Mbinga imepunguza vifo vya wajawazito kutoka 79 kati ya 100,000 mwaka 2010 hadi kufikia idadi ya vifo 65 mwaka 2013, ikiwa ni mkakati wake wa kupunguza vifo hivyo vinavyotokana na uzazi.

 

5 years ago

Michuzi

VIFO VYA BARABARANI VYAPUNGUA TANGA

UDHIBITI wa makosa ya usalama barabara mkoani Tanga umesaidia kupunguza matukio ya ajali zilizohusisha watoto kutoka 41mwaka 2018 hadi kufikia ajali 9mwaka 2019.
Takwimu hizo zimetokewa na Mkuu wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa Tanga Solomon Mwangamilo wakati wa uzinduzi wa mradi wa usalama barabara kwa shule za msingi na sekondari Jijini Tanga.
Alisema kuwa ukaguzi wa Mara kwamara ya vyombo vya moto pamoja na elimu ya usalama barabara ndio imeweza kusaidia kupunguza ajali...

 

11 years ago

Habarileo

Vifo vya watoto sasa vyapungua kwa 7.2%

Waziri wa Afya Zanzibar, Juma Duni Haji WIZARA ya Afya imesema akinamama wengi wamehamasika na kujifungua katika hospitali za Serikali na kufanikiwa kupunguza vifo vya watoto kwa asilimia 7.2.

 

9 years ago

Michuzi

AJALI NA VIFO VITOKANAVYO NA AJALI MKOA WA DAR ES SALAAM VYAPUNGUA

 Mkuu wa usalama Barabarani Kanda Maalum Dar es Salaam, Peter Sima  katikati akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Maonesho ya usalama barabarani ya yatakayofanyika tarehe Agosti 24 na 25 mwaka huu katika viwanja vya mashujaa Mnazi Mmoja  jijini Dar es Salaam, kulia ni Mrakibu Mwandamizi wa Polisi na  Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Kinondoni, Awadhi Haji na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani, Elifadhili Mgonja.Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa...

 

5 years ago

Michuzi

MASHINE NNE ZA UTRA SOUND KUFUNGWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA TEMEKE

 Muonekano wa hospitali ya Rufaa ya Temeke. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  akitembelea maeneo ya ospitali ya Rufaa ya Temeke. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisikiliza wagonjwa katika hospitali ya Rufaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, alipotemelea hospitali hiyo.
Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiHOSPITALI ya Rufaa ya mkoa wa Temeke mbioni kufungwa mashine nne za Utra Sound  kwaajili kuongeza ubora wa huduma...

 

10 years ago

Mwananchi

Vifo vya wajawazito vyaweza kuzuilika

Takwimu za hivi karibuni hapa nchini zinaonyesha kwamba kwa mwaka, Tanzania inapoteza kina mama 7,900 kutokana na sababu zitokanazo na ujauzito. Idadi hiyo ni sawa na vifo 22 kwa siku.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani