Vifo vya watoto sasa vyapungua kwa 7.2%
WIZARA ya Afya imesema akinamama wengi wamehamasika na kujifungua katika hospitali za Serikali na kufanikiwa kupunguza vifo vya watoto kwa asilimia 7.2.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV04 Dec
Vifo kwa wajawazito, watoto vyapungua Kigoma
Kasi ya vifo vinavyotokana na uzazi kwa wajawazito na watoto vimepungua mkoani Kigoma kutokana na kuanzishwa na kutekelezwa kwa mpango mkakati wa huduma ya upasuaji katika vituo vya afya vijijini.
Mpango huo umewezesha wanawake wengi wajawazitio kuondokana na adha ya kusafirishwa umbali mrefu kufuata huduma hiyo pindi inapohitajika katika hospatali za wilaya ama mkoa.
Kwa mujibu wa taarifa za Afya mkoani Kigoma, wanawake 62 walipoteza maisha mwaka 2014 kutokana na matatizo ya uzazi na...
5 years ago
MichuziVIFO VYA BARABARANI VYAPUNGUA TANGA
Takwimu hizo zimetokewa na Mkuu wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa Tanga Solomon Mwangamilo wakati wa uzinduzi wa mradi wa usalama barabara kwa shule za msingi na sekondari Jijini Tanga.
Alisema kuwa ukaguzi wa Mara kwamara ya vyombo vya moto pamoja na elimu ya usalama barabara ndio imeweza kusaidia kupunguza ajali...
11 years ago
Habarileo15 Aug
Vifo vya uzazi Mbinga vyapungua
SERIKALI wilayani Mbinga imepunguza vifo vya wajawazito kutoka 79 kati ya 100,000 mwaka 2010 hadi kufikia idadi ya vifo 65 mwaka 2013, ikiwa ni mkakati wake wa kupunguza vifo hivyo vinavyotokana na uzazi.
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Malaria: vifo vyapungua kwa 50%
5 years ago
Michuzi
VIFO VYA WAJAWAZITO KIPINDI CHA KUJIFUNGUA VYAPUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA TEMEKE


10 years ago
Dewji Blog30 Jun
Tanzania yapongezwa kwa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto
Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dk. Jama Gulaid, akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.

Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Vifo vya watoto, wajawazito vitazamwe kwa jicho la tatu
KUTOKANA na matatizo yanayoikabili sekta ya afya ikiwemo huduma zote stahiki kwa mjamzito, watoto walio chini ya miaka mitano na wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 ni wakati muafaka...
5 years ago
BBCSwahili04 Jun
Virusi vya corona: Kuvuruga utaratibu wa chanjo kwa watoto kutasababisha vifo vinavyoweza kuepukika
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...