Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Temeke Queens yapigwa 4-0 Ligi Mkoa Dar

TIMU ya soka ya Mburahati Queens imeibuka kidedea dhidi ya Temeke Queens baada ya kuigaragaza kwa 4-0 katika mchezo wa Ligi ya Wanawake mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KATIBU CCM MKOA WA DAR AZINDUA SEMINA ELEKEZI KWA MABALOZI WA MASHINA YA KATA YA VITUKA JIMBO LA TEMEKE‏

 Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu, akizungumza na mabalozi  wa mashina ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  Kata ya Vituka Jimbo lake, ambapo mgeni Rasmi wa semina ya mabalozi hao alikuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam  Abillahi Mihella.   Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Miburani Ally… ...

 

10 years ago

Michuzi

BASATA KUENDESHA PROGRAM YA MAFUNZO YA SANAA KWA WATOTO WAPATAO 215 KUTOKA WILAYA YA TEMEKE MKOA WA DAR ES SALAAM

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lenye dhamana ya kufufua, kukuza na kuendeleza Sanaa kwa kushirikiana na taasisi ya Ako’mungoma Poverty Alleviation Organization (APAO) linaendesha programu ya wiki tatu ya Sanaa kwa watoto katika Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam. 
Kwa mujibu wa Sera ya Taifa ya Utamaduni ya mwaka 1997 sura ya 9.6.16 Baraza linaelekezwa kushirikiana na wadau katika kuendesha matukio mbalimbali ya sanaa  kama programu hii ya watoto. 
Programu hii ya Sanaa kwa watoto ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

DRFA YATANGAZA TIMU ZILIZOINGIA 18 BORA LIGI YA MKOA WA DAR ES SALAAM

Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,kimetangaza timu 18 zilizofanikiwa kutingia katika hatua ya 18 bora (raundi ya pili) ya michuano ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam. 
 Timu hizo ni kutoka katika kundi (A) ambazo ni Red Coast,Yanga U20,Changanyikeni na Ukonga UTD,kundi (B) Simba U20,Stakishari,Zakhem na Beira Hotspurs,kundi (C) FFU,Sifa UTD,Pan Africa na Sinza Stars,huku kundi (D) likitoa timu za Shababi,New Kunduchi,Ugimbi na Azania Ngano.
Timu mbili zilizopata nafasi ya kuongezwa...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWA FC, TASWA QUEENS WAMALIZA ZIARA YAO YA MKOA WA ARUSHA NA TANGA BILA KUFUNGWA

Mchezaji wa Taswa Fc, Julius Kihampa (kushoto) akikokota mpira wakati wa mchezo wa Bonanza la 10 la Taswa Arusha dhidi ya timu ya IMS Maji ya Chai, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 1-1.Mchezaji wa Taswa Queens, Oliver Arbogasti, akimdhibiti mchezaji wa timu ya Chuo cha waandishi wa Habari cha AJTC wakati wa mchezo wao. Katika mchezo huo Taswa Queens, ilishinda mabao 37 - 3 Nahodha wa timu ya Taswa Queens, Zuhura...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanza Queens waichapa Mara Queens Goli 6 kwa 1 katika mechi ya uzinduzi wa Women Taifa Cup jijini Mwanza leo

IMG-20150101-WA0055

Kikosi cha Timu ya Mara (jezi Nyekundu) wakisalimiana na Marefa wa mchezo huo tayari kwa Mtanange wa Women Taifa Cup kuzinduliwa leo jijini Mwanza kwa Kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, Mh Jamal Malinzi akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mara kabla ya Mechi ya Uzinduzi wa mashindano ya Mpira wa Miguu kwa wanawake yajulikanayo kama Women Taifa Cup kuanza katika dimba la CCM kirumba leo Jijini Mwanza Baadhi ya Viongozi wa Mpira wa...

 

10 years ago

Michuzi

DRFA yataja makundi ya timu zitakazoshiriki kucheza hatua ya 18 bora (hatua ya pili) ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam

Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA, kimetaja makundi ya timu zitakazoshiriki kucheza hatua ya 18 bora (hatua ya pili) ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam,inayotarajia kuanza kutimua vumbi mapema mwezi huu.Katika kundi (A) limepangwa kuwa na timu za Simba U20,Red Coast,Sifa UTD,Shababi,Ukonga UTD,Zakhem,Ugimbi,Beirahotspurs na Pan Africa.Katika kundi (B) litakuwa na timu za Yanga U20,Stakishari,FFU,New Kunduchi,Sinza Stars,Changanyikeni,Tuamoyo,Sifapilitan na Azania Unga.
Ligi hiyo ya mkoa...

 

10 years ago

Michuzi

MWANZA QUEENS WAICHAPA MARA QUEENS GOLI 6 KWA 1 KATIKA MECHI YA UZINDUZI WA WOMEN TAIFA CUP MCHEZO ULIOCHEZWA JIJINI MWANZA LEO

Kikosi cha Timu ya Mara (jezi Nyekundu) wakisalimiana na Marefa wa mchezo huo tayari kwa Mtanange wa Women Taifa Cup kuzinduliwa leo jijini Mwanza kwa Kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara.Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, Mh Jamal Malinzi akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mara kabla ya Mechi ya Uzinduzi wa mashindano ya Mpira wa Miguu kwa wanawake yajulikanayo kama Women Taifa Cup kuanza katika dimba la CCM kirumba leo Jijini MwanzaBaadhi ya Viongozi wa Mpira wa Mkoa wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hospitali ya Mkoa Singida yapigwa tafu ya mashuka na benki ya Posta nchini

DSC01622

Meneja wa benki ya Posta tawi la Singida, Redenoter Rweyemamu, akizungumza kwenye hafla ya benki hiyo kutoa msaada wa shuka 104 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili, kwa hospitali ya mkoa mjini hapa, inayokabiliwa na uhaba wa shuka na kusababisha wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi kitendo ambacho ni kinyume na taratibu.

DSC01626

Mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa mjini hapa, Dk. Daniel Tarimo, akitoa shukrani zake kwa benki ya posta tawi la Singida mjini kwa msaada wake wa mashuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani