BASATA KUENDESHA PROGRAM YA MAFUNZO YA SANAA KWA WATOTO WAPATAO 215 KUTOKA WILAYA YA TEMEKE MKOA WA DAR ES SALAAM

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lenye dhamana ya kufufua, kukuza na kuendeleza Sanaa kwa kushirikiana na taasisi ya Ako’mungoma Poverty Alleviation Organization (APAO) linaendesha programu ya wiki tatu ya Sanaa kwa watoto katika Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Sera ya Taifa ya Utamaduni ya mwaka 1997 sura ya 9.6.16 Baraza linaelekezwa kushirikiana na wadau katika kuendesha matukio mbalimbali ya sanaa kama programu hii ya watoto.
Programu hii ya Sanaa kwa watoto ambayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBASATA KUENDESHA MAFUNZO YA SANAA KWA WATOTO
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE
10 years ago
Michuzi
BASATA NA KITUO CHA UTAMADUNI CHA UJERUMAN (GOETH INSTITUT) WAENDESHA MAFUNZO KWA WASANII WA SANAA ZA MIKONO


10 years ago
Michuzi
MAKARANI WA MAHAKAMA MKOA WA DAR ES SALAAM WAPEWA MAFUNZO YA UINGIZAJI WA TAARIFA ZA MASHAURI KWA NJIA YA KI-ELECTRONIKI


11 years ago
Michuzi
wasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha mafunzo kwa wasanii wa tanzania

10 years ago
Michuzi
MAWAKALA WA AIRTEL MONEY MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA MAFUNZO

elimu kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, wakati wa mafunzo kwa mawakala wa Airtel Money wa mkoa wa Dar es Salaam jana.

Meneja Mauzo wa Airtel Tanzania Kanda ya Ilala, James Moilo akitoaelimu kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, wakati wa mafunzo kwa mawakala wa Airtel Money wa mkoa wa Dar es Salaam jana.

10 years ago
GPL
MAWAKALA WA AIRTEL MONEY MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA MAFUNZO