Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA WA MTWARA AFUNGUA MKUTANO WA MAENDELEO YA MISITU

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendego akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkutano wa nne wa wadau wa sekta ya misitu unaolenga kuangazia masuala ya usimamizi shirikishi ya misitu vijijini ulioandaliwa na Taasisi ya UONGOZI mjini Mtwara. Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma Ally, Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki Bi. Gladness Mkamba na Mkuu wa Utafiti na Sera wa Taasisi ya UONGOZI Bw. Denis Rweyemamu. Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki Bi. Gladness Mkamba akitoa mada kuhusu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendego afungua mkutano wa maendeleo ya misitu

1

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendego akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkutano wa nne wa wadau wa sekta ya misitu unaolenga kuangazia masuala ya usimamizi shirikishi ya misitu vijijini ulioandaliwa na Taasisi ya UONGOZI mjini Mtwara. Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma Ally, Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki Bi. Gladness Mkamba na Mkuu wa Utafiti na Sera wa Taasisi ya UONGOZI Bw. Denis Rweyemamu.

2

Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki Bi. Gladness Mkamba akitoa mada kuhusu...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MTWARA HALIMA DENDEGO AFUNGUA MAONYESHO YA WIKI YA BAHARI DUNIANI MKOANI LEO MCHANA

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wan ne kutoka kushoto), akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa maonyesho ya siku ya bahari duniani, yanayoadhimishwa kitaifa mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu katika viwanja vya Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Mkoani Mtwara.  Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wa kwanza kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Navigation kutoka Jeshi  la Wananchi Tanzania, Meja Joseph Mjema ,wakati akitoa maelezo ya namna ramani...

 

11 years ago

Michuzi

mkuu wa mkoa wa pwani afungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa uchukuzi

Mwenyekiti wa Baraza, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, akitoa hotuba ya utangulizi kabla ya Mkuu wa mkoa wa Pwani, B. Mwantumu Mahiza hajafungua rasmi Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Uchukuzi, lililofanyika mjini Bagamoyo katika hoteli ya Millenium Beach Resort, leo asubuhi. Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bi. Mwantumu Mahiza akitoa hotuba wakati akifungua Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Uchukuzi, lililofanyika mjini Bagamoyo, leo asubuhi katika Hoteli ya Millenium Beach...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DODOMA KUHUSU UCHAGUZI MKUU

  Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafuu Chiku Gallawa akifanunua jambo alipokuwa akifungua mkutano wa chama cha waandishi wa habari na wadau mbalimbali uliofanyika leo mjini Dodoma Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoani Dodoma, Bw. Habel Chidawal akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa mkoa kufungua mkutano huo uliofanyika leo Mjini Dodoma
 Mwandishi wa kituo cha Televisheni ya Chanel Ten, Bw. Kuringe Mongi akitoa mada kuhusu Mahusiano kati ya waandishi wa habari na wadau...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA PWANI BI. MWANTUMU MAHIZA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UCHUKUZI MJINI BAGAMOYO

 Mwenyekiti wa Baraza, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, akitoa hotuba ya utangulizi kabla ya Mkuu wa mkoa wa Pwani, B. Mwantumu Mahiza hajafungua rasmi Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Uchukuzi, lililofanyika mjini Bagamoyo katika hoteli ya Millenium Beach Resort, leo asubuhi.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bi. Mwantumu Mahiza akitoa hotuba wakati akifungua Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Uchukuzi, lililofanyika mjini Bagamoyo, leo asubuhi katika Hoteli ya Millenium Beach...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA MORAVIAN TANZANIA, ATAKA KANISA KULIOMBEA TAIFA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na viongozi wa kanisa Moravian Tanzania wakati akifungua Mkutano wa Kitaifa wa kanisa hilo uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma. Baadhi ya viongozi wa kanisa la Moravian Tanzania wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano wa kitaifa wa kanisa hilo hapa nchini uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma.

 

9 years ago

Vijimambo

MH. ISSA USI GAVU AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI UNAOFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA

Sehemu  ya wajumbe wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani, uliofanyika Kitaifa mkoani Mtwara,leo mchana, wakisikiliza mada mbalimbali zinazohusu changamoto na mikakati ya kuboresha mazingira ya Usafiri wa Majini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil, akitoa shukrani zake kwa Ushirikiano unaoonyeshwa kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika sekta ya Uchukuzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani