Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana: Katiba mpya ni lazima

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaLICHA ya ‘madudu’ yanayofanywa na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Katibu Mkuu CCM, Abdulrahman Kinana, amewataka Watanzania kuwa watulivu akisema ni lazima Katiba mpya itapatikana, huku akisisitiza watambue kuwa Katiba hiyo si mwarobaini wa matatizo yaliyopo sasa hapa nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBA MPYA TUNAITAKA,LAKINI ISIWE YA KUKOROGA VICHWA VYA WATU-KATIBU MKUU WA CCM,KINANA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Stendi ya Manyoni, wllayani Manyoni, Singida leo. "Katiba tunaitaka, lakini isiwe ya  mazingaombwe ya kukoroga vichwa vya watu. ndugu msitoane macho, tusing'oane meno kwa ajili ya katiba ambayo hata ikija mpya haiwezi kugeuza chai ya rangi kuwa ya maziwa"  alisema Kinana akatika mkutano huo.Ndugu Kinana yupo mkoani humo kwa ziara ya siku 8 akitokea mkoani Tabora ambako alikuwa na ziara ya siku 11.

 

10 years ago

Mwananchi

Lazima tuwe na mipango endelevu-Kinana

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Abdulrahman Kinana amesema kuwa ili Tanzania iweze kujitegemea kiuchumi ni lazima iwe na mipango yake endelevu kwani hakuna nchi nyingine itakayokuja kuiendeleza.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana: Siyo lazima Ukawa warejee bungeni

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema mazungumzo ya kusaka mwafaka kuhusu mchakato wa Katiba Mpya baina ya chama chake na vyama ambavyo wajumbe wake wamesusia Bunge Maalumu, hakulengi kuwalazimisha kurejea katika Bunge hilo.

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe: Siyo lazima Katiba ipatikane sasa

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema Katiba inayoandaliwa siyo lazima ipatikane kwa sasa kutokana na hofu ya kukosekana kwa maridhiano yanayoendelea kujitokeza miongoni mwao na wajumbe wanaosimamia muundo wa serikali mbili.

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya: Si lazima Katiba itamke kumwajibisha Mbunge

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya amesema kutowekwa kwa kipengele cha wananchi kuwajibisha wabunge pale wanapofanya kinyume na matarajio yao katika Katiba Iliyopendekezwa, hakuondoi nguvu ya wananchi kwa wabunge wao.

 

11 years ago

Mwananchi

KATIBA: Silaa asisitiza serikali mbili lazima

>Siku moja baada ya kuelezwa kuwa msimamo wa kung’ang’ania serikali mbili ni maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Jerry Silaa amesisitiza kuwa serikali mbili ni lazima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani