Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama yatishia kumkamata Lwakatare

Pg.1Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilitishia kumkamata Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare baada ya kutokuwapo mahakamani hapo.

Kauli ya Hakimu Thomas Simba imetolewa  baada ya Mdhamini wa mshtakiwa, Paschal Mwita kudai mahakamani hapo kuwa mshtakiwa huyo hakuwapo  mahakamani na kwamba amesafiri kwenye shughuli zake za ubunge.

Wakili Mwandamizi wa serikali, Pamela Shinyambala alidai kuwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AFRIKA KUSINI YAPUUZIA OMBI LA MAHAKAMA YA ICC LA KUMKAMATA RAIS AL-BASHIR

Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), imeitaka Afrika Kusini kumkamata rais wa Sudan Omar Al-Bashir ambaye anaripotiwa kusafiri kwenda nchini humo kuhudhuria mkutano wa Muungano wa nchi za Afrika ambao unaanza leo Jumapili.
Kwenye taarifa yake, ICC imesema kuna waranti mbili za kumkamata Bashir anayetakiwa na mahakama hiyo kuhusiana na tuhuma za kuhusika na uhalifu ulitokea katika jimbo la Darfur na kwamba anakabiliwa na kesi inayohusiana na uhalifu wa kivita na mauaji ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Museveni kumkamata Mbabazi

Kampala, Uganda. Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametishia kuwakamata wafuasi wa mgombea urais wa Chama cha Go Forward, Amama Mbabazi kwa kusababisha ghasia kati yao na wanachama wa chama chake cha National Resistance Movement (NRM) kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Ntungamo mwezi huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

ICC yaitaka A. Kusini kumkamata Bashir

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC imeitaka Afrika Kusini kumkamata rais wa Sudan Omar Al-Bashir

 

10 years ago

Mwananchi

Interpol yaomba msaada kumkamata jangili

Hatimaye Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) imewapigia magoti Watanzania ikitaka msaada wao katika kumsaka mtuhumiwa wa kwannza katika kesi ya utoroshaji wanyamapori hai 100 kwa ndege ya jeshi la Pakistani kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro.

 

10 years ago

Habarileo

Amri ya kumkamata bosi TRA yaondolewa

KATIBU wa Bodi ya Rufaa ya Kodi katika Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara, Respicius Mwijage ameamuru maombi ya kumkamata Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kumpeleka gerezani kwa kukiuka amri ya bodi hiyo, yaondolewe.

 

11 years ago

Habarileo

Atakiwa kuonesha hati ya kumkamata bosi wa UDA

SAKATA la mfanyabiashara wa Dar es Salaam, kushutumu viongozi wa Jeshi la Polisi na Serikali kwa madai ya kushindwa kumkamata mwendeshaji wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa kudaiwa kuvamia kiwanja Mbagala, limechukua sura mpya, baada ya mfanyabiashara, Alex Msama kutakiwa kuonesha amri ya Mahakama inayoagiza Kisena kukamatwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Seleka wadai malipo kwa kumkamata Ongwen

Waasi wa kundi la Seleka katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wanasema kuwa wanapaswa kutuzwa kwa kumkamata kamanda mkuu wa kundi la waasi la Uganda, LRA.

 

9 years ago

StarTV

Polisi  Kilimanjaro waagizwa kumkamata Meneja wa TCCCO.LTD upotevu wa kahawa

 

Serikali imeliagiza Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro Kumkamata mara moja na kumfikisha Mahakamaini Meneja wa Kiwanda cha Kukoboa kahawa cha Tanganyika Coffee Curing Company LTD cha mjini Moshi Andrew Kleruu kwa tuhuma za kuhusika na upotevu  wa magunia 36 yenye uzito wa kilogramu 1764 za kahawa kutoka kwa  wanaushirika  wa chama cha G32 kilichopo mkoani humo.

Agizo la mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla likielekezwa kukamatwa kwa Meneja wa Kiwanda cha kukoboa Kahawa cha Tanganyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani