Polisi  Kilimanjaro waagizwa kumkamata Meneja wa TCCCO.LTD upotevu wa kahawa
Serikali imeliagiza Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro Kumkamata mara moja na kumfikisha Mahakamaini Meneja wa Kiwanda cha Kukoboa kahawa cha Tanganyika Coffee Curing Company LTD cha mjini Moshi Andrew Kleruu kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa magunia 36 yenye uzito wa kilogramu 1764 za kahawa kutoka kwa wanaushirika wa chama cha G32 kilichopo mkoani humo.
Agizo la mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla likielekezwa kukamatwa kwa Meneja wa Kiwanda cha kukoboa Kahawa cha Tanganyika...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Anguko la kahawa laleta umaskini kilimanjaro — 4
HALI ya maisha kwa wananchi wa kipato ha chini mkoani Kilimanjaro si ya kuridhisha kutokana na kuanguka kwa uzalishaji wa kahawa. Wananchi wengi hasa waishio vijijini wanakabiliwa na umaskini wa...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Anguko la kahawa laleta umaskini Kilimanjaro
KUSHUKA kwa uzalishaji wa kahawa katika Mkoa wa Kilimanjaro kumewaweka wananchi hususan wakulima katika wimbi la umaskini wa kipato. Baadhi ya wananchi wanashindia mlo mmoja na wengine kutokana na kushindwa...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Anguko la kahawa laleta umaskini Kilimanjaro — 2
SEHEMU ya kwanza ya makala hii nilizungumzia sababu za kushuka kwa uzalishaji wa kahawa mkoani Kilimanjaro. Nilielezea baadhi ya athari zilizojitokeza kutokana na kuanguka kwa uzalishaji wa zao hilo zikiwamo...
10 years ago
Habarileo13 May
Polisi 3 kortini kwa upotevu wa SMG 8
ASKARI Polisi watatu wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU) mkoani Tabora, wamefikishwa mahakamani, akiwemo mkuu wa kikosi hicho, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Bhoke Julius Bruno.
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-UdjfrBlJkIA/VhiO3FWneUI/AAAAAAAAVUo/9o3cd3ItxCM/s72-c/E86A2555%2B%25281280x853%2529.jpg)
LOWASA AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA KILIMANJARO
![](http://2.bp.blogspot.com/-UdjfrBlJkIA/VhiO3FWneUI/AAAAAAAAVUo/9o3cd3ItxCM/s640/E86A2555%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-O-XMLB0HGWM/VhiO_c0L1XI/AAAAAAAAVVE/AgOecnnxsFQ/s640/E86A2574%2B%25281280x853%2529.jpg)
11 years ago
Habarileo17 Mar
Polisi waagizwa kuacha rushwa
POLISI wametakiwa kubadili tabia kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye matatizo, yanayohitaji huduma za kipolisi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--ppotKtjnbM/VEEsO_RaF9I/AAAAAAAGrUw/wkf1cUhFh1I/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
Kahawa ya Kilimanjaro Premium Brand yazidi kuing'arisha Tanzania nchini Japan
![](http://3.bp.blogspot.com/--ppotKtjnbM/VEEsO_RaF9I/AAAAAAAGrUw/wkf1cUhFh1I/s1600/unnamed%2B(61).jpg)
Ujumbe wa M.M.C ulieleza kuwa siku ya kwanza ya kampeni hii maalum kwa Tanzania na Tokaido Shinkasen jumla ya vikombe vya kawahawa 9999 viliuzwa, na kumbe mauzo yanaongezeka siku baada ya...
11 years ago
Habarileo31 Jan
Polisi waagizwa kudhibiti kundi la ‘kamchape’
SERIKALI Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora imeliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watu wanaounda kikundi cha waganga wa jadi maarufu kama ‘kamchape’ kutokana na kikundi hicho kuhatarisha amani ya wakazi wa wilaya hiyo.
11 years ago
MichuziKAMANDA BOAZ WA KILIMANJARO ATOA ZAWADI KWA TIMU YA POLISI-KILIMANJARO YA MCHEZO WA KARATE