Kahawa ya Kilimanjaro Premium Brand yazidi kuing'arisha Tanzania nchini Japan
![](http://3.bp.blogspot.com/--ppotKtjnbM/VEEsO_RaF9I/AAAAAAAGrUw/wkf1cUhFh1I/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
pichani ni Mhe, Balozi Salome Sijaona (wa pili kushoto) akiwa na ujumbe wa Kampuni ya M.M.C wauzaji wa Kahawa ya Kilimanjaro Premium Brand kutoka Tanzania nchini Japan, na watumishi wengine wa Ubalozi, M.MC walifika Ofisi za Ubalozi kuelezea mafanikio ya mauzo ya kahawa hii maalum ya Tanzania kwenye treini.
Ujumbe wa M.M.C ulieleza kuwa siku ya kwanza ya kampeni hii maalum kwa Tanzania na Tokaido Shinkasen jumla ya vikombe vya kawahawa 9999 viliuzwa, na kumbe mauzo yanaongezeka siku baada ya...
Michuzi