Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi waagizwa kudhibiti kundi la ‘kamchape’

SERIKALI Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora imeliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watu wanaounda kikundi cha waganga wa jadi maarufu kama ‘kamchape’ kutokana na kikundi hicho kuhatarisha amani ya wakazi wa wilaya hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Polisi waagizwa kuacha rushwa

POLISI wametakiwa kubadili tabia kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye matatizo, yanayohitaji huduma za kipolisi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi.

 

9 years ago

StarTV

Polisi  Kilimanjaro waagizwa kumkamata Meneja wa TCCCO.LTD upotevu wa kahawa

 

Serikali imeliagiza Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro Kumkamata mara moja na kumfikisha Mahakamaini Meneja wa Kiwanda cha Kukoboa kahawa cha Tanganyika Coffee Curing Company LTD cha mjini Moshi Andrew Kleruu kwa tuhuma za kuhusika na upotevu  wa magunia 36 yenye uzito wa kilogramu 1764 za kahawa kutoka kwa  wanaushirika  wa chama cha G32 kilichopo mkoani humo.

Agizo la mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla likielekezwa kukamatwa kwa Meneja wa Kiwanda cha kukoboa Kahawa cha Tanganyika...

 

9 years ago

Habarileo

Polisi yawaangukia abiria kudhibiti ajali

POLISI mkoani Katavi kupitia kikosi cha Usalama Barabarani imezindua kampeni inayowataka abiria kushirikiana kudhibiti na kupunguza ajali za barabarani hasa kipindi cha kuelekea siku za Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

 

9 years ago

Dewji Blog

Polisi kutumia “Whatsapp” kudhibiti uhalifu

JC9A1116

Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha (ACP) Edward Balele akifungua kikao kati ya Jeshi hilo na Taasisi za ulinzi kujadili mustakabali wa usalama ndani ya mkoa huu. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Bwalo la Polisi Jijini hapa (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha).

JC9A1123

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Ulinzi ya KK kanda ya Kaskazini Claude Herssens akichangia mada katika kikao kilichoandaliwa na Jeshi la Polisi Mkoani hapa na kuziusisha taasisi mbalimbali za ulinzi...

 

9 years ago

Habarileo

Polisi kudhibiti watakaoleta fujo Jumapili

JESHI la Polisi nchini limewaondolea hofu wananchi juu ya kuwepo kwa vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani siku ya Uchaguzi Mkuu Jumapili wiki hii; na kuonya kuwa yeyote aliyejipanga kuvuruga uchaguzi, atadhibitiwa.

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA TANGA KATIKA MAPAMBANO YA POLISI NA KUNDI LA KIGAIDI

Helkopta ya polisi pamoja na gari vikiwa eneo la mapango ya Amboni, Tanga wakati wa mapambano ya polisi na kundi linalodhaniwa kuwa la kigaidi. Eneo la mapango ya Amboni.…

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi Arusha kudhibiti uhalifu kwa ‘WhatsApp’

Polisi mkoani Arusha wamedhamiria kushirikiana na kampuni ya za ulinzi kupeana taarifa za uhalifu na wahalifu mara kwa mara kwa njia mtandao wa kijamii ya mtandao wa ‘WhatsApp.’

 

5 years ago

Michuzi

MASAUNI-POLISI ZINGATIENI MISINGI YA SHERIA KUDHIBITI UHALIFU




Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wajumbe(hawapo pichani),  wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Kumi na Mbili cha Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi ambapo amelitaka jeshi hilo kuzingatia misingi ya sheria katika kudhibiti viashiria au matendo ya uhalifu katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.Ufunguzi wa kikao hicho umefanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa...

 

5 years ago

Michuzi

Masauni - Polisi zingatieni Misingi ya Sheria kudhibiti Uhalifu


Serikali imelitaka Jeshi la Polisi kuzingatia misingi ya sheria katika kudhibiti viashiria au matendo ya uhalifu katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Hayo yamesemwa leo Machi 16,2020 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati akifungua Kikao cha Kumi na Mbili cha Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi kilichofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.
“Napenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani