Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi kutumia “Whatsapp” kudhibiti uhalifu

JC9A1116

Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha (ACP) Edward Balele akifungua kikao kati ya Jeshi hilo na Taasisi za ulinzi kujadili mustakabali wa usalama ndani ya mkoa huu. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Bwalo la Polisi Jijini hapa (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha).

JC9A1123

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Ulinzi ya KK kanda ya Kaskazini Claude Herssens akichangia mada katika kikao kilichoandaliwa na Jeshi la Polisi Mkoani hapa na kuziusisha taasisi mbalimbali za ulinzi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Zanzibar kutumia kamera kudhibiti uhalifu

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaweka kamera katika maeneo mbalimbali Unguja na Pemba kwa ajili ya kukabiliana na matukio ya uhalifu.

 

11 years ago

Mwananchi

Arusha kutumia CCTV kudhibiti uhalifu

Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Arusha imeazimia kufunga kamera maalumu za ulinzi (CCTV) kwenye mitaa na barabara kuu zote zinazoingia na kutoka jijini Arusha ili kufuatilia nyendo za watu kwa lengo la kudhibiti vitendo vya uhalifu.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi Arusha kudhibiti uhalifu kwa ‘WhatsApp’

Polisi mkoani Arusha wamedhamiria kushirikiana na kampuni ya za ulinzi kupeana taarifa za uhalifu na wahalifu mara kwa mara kwa njia mtandao wa kijamii ya mtandao wa ‘WhatsApp.’

 

5 years ago

Michuzi

Masauni - Polisi zingatieni Misingi ya Sheria kudhibiti Uhalifu


Serikali imelitaka Jeshi la Polisi kuzingatia misingi ya sheria katika kudhibiti viashiria au matendo ya uhalifu katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Hayo yamesemwa leo Machi 16,2020 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati akifungua Kikao cha Kumi na Mbili cha Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi kilichofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.
“Napenda...

 

5 years ago

Michuzi

MASAUNI-POLISI ZINGATIENI MISINGI YA SHERIA KUDHIBITI UHALIFU




Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wajumbe(hawapo pichani),  wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Kumi na Mbili cha Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi ambapo amelitaka jeshi hilo kuzingatia misingi ya sheria katika kudhibiti viashiria au matendo ya uhalifu katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.Ufunguzi wa kikao hicho umefanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KUWACHUKULIA HATUA KALI WATU WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU WA KUTUMIA SILAHA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka askari Polisi kote nchini kufanyakazi kwa kuzingatia weledi bila kumuonea mtu yeyote na kuendelea kuwachukulia hatua kali watu wanaojihusisha na uhalifu wa kutumia silaha.

IGP Sirro amesema hayo leo akiwa mkoani Tabora ambapo alizungumza na Polisi Kata waliopo kwenye mkoa huo huku akiwataka kuhakikisha kuwa kila mtu anatimiza wajibu wake hasa tunapoelekea kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu sambamba na kuwachukulia hatua wale wasiotaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Zanzibar kufunga CCTV kudhibiti uhalifu

 Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imepanga kufunga kamera za usalama (CCTV) katika maeneo mbalimbali ya kitalii visiwani hapa ikiwa ni moja ya jitihada za kupambana na uhalifu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tumakinike kudhibiti uhalifu viumbe vya porini: Ban

Leo ni siku ya wanyama na mazao ya porini duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametaka umakini katika uhalifu wa maliasili hiyo.

 

11 years ago

Ykileo

TAHADHARI: UHALIFU UNAOFANYWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI!

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuzingatia kifungu 5 (b) na (e) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya 2003 inatoa tahadhari kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano, wananchi na umma kwa ujumla kujihadhari na utapeli unaofanywa kwa kutumia simu za mkononi na mtandao wa intaneti kama ifuatavyo:-


1. Usimpe mtu yeyote usiyemfahamu vizuri simu yako au kadi yako ya simu ili atumie.

2. Usitoe maelezo yoyote kuhusu namba yako ya simu au taarifa za binafsi kwa mtu yeyote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani