Masauni - Polisi zingatieni Misingi ya Sheria kudhibiti Uhalifu
Serikali imelitaka Jeshi la Polisi kuzingatia misingi ya sheria katika kudhibiti viashiria au matendo ya uhalifu katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Hayo yamesemwa leo Machi 16,2020 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati akifungua Kikao cha Kumi na Mbili cha Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi kilichofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.
“Napenda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-BW7QWHRAr90/XnEZisZl8AI/AAAAAAALkLc/JIH78QwUUvIHd90GjTfHYpmNriT7SreqQCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1-6-768x512.jpg)
MASAUNI-POLISI ZINGATIENI MISINGI YA SHERIA KUDHIBITI UHALIFU
![](https://1.bp.blogspot.com/-BW7QWHRAr90/XnEZisZl8AI/AAAAAAALkLc/JIH78QwUUvIHd90GjTfHYpmNriT7SreqQCLcBGAsYHQ/s640/PIX-1-6-768x512.jpg)
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wajumbe(hawapo pichani), wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Kumi na Mbili cha Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi ambapo amelitaka jeshi hilo kuzingatia misingi ya sheria katika kudhibiti viashiria au matendo ya uhalifu katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.Ufunguzi wa kikao hicho umefanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa...
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Polisi kutumia “Whatsapp†kudhibiti uhalifu
Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha (ACP) Edward Balele akifungua kikao kati ya Jeshi hilo na Taasisi za ulinzi kujadili mustakabali wa usalama ndani ya mkoa huu. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Bwalo la Polisi Jijini hapa (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha).
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Ulinzi ya KK kanda ya Kaskazini Claude Herssens akichangia mada katika kikao kilichoandaliwa na Jeshi la Polisi Mkoani hapa na kuziusisha taasisi mbalimbali za ulinzi...
9 years ago
Mwananchi08 Dec
Polisi Arusha kudhibiti uhalifu kwa ‘WhatsApp’
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
‘Zingatieni sheria za uzazi’
SERIKALI imewataka waajiri katika taasisi zake mbalimbali na zile zisizo za kiserikali kuzingatia na kulinda sheria zinazowalinda wanawake wanaojifungua kwa kuwapa likizo za uzazi. Waajiri hao pia wametakiwa kuzingatia sheria...
9 years ago
Mwananchi17 Oct
‘Ushirika, Vicoba zingatieni sheria’
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xQHICFAwNSQ/Xq7hT3shYvI/AAAAAAALo9Q/ozfUWUeir4IN__tyUQ_OCMpTt-8t8kglACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC06868_1588499924450.jpg)
Waandishi zingatieni maadili, sheria
Na. Vero Ignatus
CHAMA cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania(JOWUTA) kimesisitiza umuhimu wa waandishi wa habari nchini kuendelea kuzingatia maadili, kanuni na sheria katika utekelezaji wa majukumu yao katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya janga la ugonjwa wa homa kali ya mapafu COVID19.
Akitoa salamu za maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Habari Duniani leo, Mwenyekiti wa JOWUTA, Claud Gwandu alisema uhuru wa habari, maadili, haki, usawa ni nguzo muhimu za kuzingatiwa na wanahabari...
9 years ago
MichuziMAWAKILI ZINGATIENI MAADILI YA TAALUMA YA SHERIA – JAJI MKUU
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Arusha kutumia CCTV kudhibiti uhalifu
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Zanzibar kufunga CCTV kudhibiti uhalifu