Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi waagizwa kuacha rushwa

POLISI wametakiwa kubadili tabia kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye matatizo, yanayohitaji huduma za kipolisi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waagizwa kuacha visingizio vya kutotekeleza miradi

HALMASHAURI ZA wilaya na Manispaa mkoani Lindi ziache visingizio vya kutotekeleza miradi ya maendeleo kwa wakati kutokana mfumo wa fedha kwa kutumia malipo kwa mitandao maarufu (EPICOR).

 

11 years ago

Habarileo

Polisi waagizwa kudhibiti kundi la ‘kamchape’

SERIKALI Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora imeliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watu wanaounda kikundi cha waganga wa jadi maarufu kama ‘kamchape’ kutokana na kikundi hicho kuhatarisha amani ya wakazi wa wilaya hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Polisi  Kilimanjaro waagizwa kumkamata Meneja wa TCCCO.LTD upotevu wa kahawa

 

Serikali imeliagiza Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro Kumkamata mara moja na kumfikisha Mahakamaini Meneja wa Kiwanda cha Kukoboa kahawa cha Tanganyika Coffee Curing Company LTD cha mjini Moshi Andrew Kleruu kwa tuhuma za kuhusika na upotevu  wa magunia 36 yenye uzito wa kilogramu 1764 za kahawa kutoka kwa  wanaushirika  wa chama cha G32 kilichopo mkoani humo.

Agizo la mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla likielekezwa kukamatwa kwa Meneja wa Kiwanda cha kukoboa Kahawa cha Tanganyika...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA POLISI KUACHA KUZALISHA MAHABUSU MAGEREZANI

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kuangalia aina ya makosa ya watuhumiwa ambayo yana dhaminika ili kupunguza mlundikano wa mahabusu Magerezani.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua miradi ya maendeleo ya Jeshi la Magereza na baadaye kuzungumza na Maafisa na Askari wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma, leo, Simbachawene alisema Jeshi hilo linakabiliwa na changamoto ya idadi kubwa ya mahabusu ukilinganisha na wafungwa waliopo...

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AWATAKA MADEREVA NA WAMILIKI WA DALALDALA KUACHA MGOMO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya  ACP Ahmed Msangi akiongea na Madereva na wamiliki wa daladala jijini mbeya
Mwenyekiti wa Daladala Kanda ya Uyole Sunday Mwansasu amesema kuwa kitendo kilichofanywa na Halmashauri ya Jiji na Sumatra cha kuwapangia njia ambayo haiko katika mkataba wa leseni ya usafirishaji ni kitendo cha kuwaonea Madereva na Wamiliki wa magari kwani kwa ratiba hiyo hulazimika kutembea kilometa nne zaidi tofauti na njia ya awali.
Mchungaji William Mwamalanga akiwasihi...

 

11 years ago

Michuzi

POLISI NA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA RUSHWA

Maafisa na Askari Polisi hapa nchini  wametakiwa badili tabia zao kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye Matatizo yanayohitaji huduma za kipolisi.   Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi, wakati akitoa mada kwa washiriki wa Mafunzo ya kuimarisha Miundombinu ya Maadili na mapambano dhidi ya Rushwa yanayotolewa kwa Wakuu wa Polisi wa Tarafa na Majimbo yanayofanyika mjini...

 

11 years ago

Habarileo

Chikawe kuanza na kero ya rushwa polisi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mathias Chikawe.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mathias Chikawe amesema atashughulikia tatizo la polisi kulalamikiwa kula rushwa kwa kuwaandalia mazingira mazuri, ambayo hata akiulizwa kwa nini anakula rushwa hatakuwa na jibu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi wafukuzwa kwa rushwa Uturuki

Polisi waandamizi watano nchini Uturuki wamefukuzwa kazi kutokana na tuhuma vitendo vya rushwa

 

9 years ago

BBCSwahili

Buhari amteua mkuu wa polisi kukabili rushwa

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amemteua kamishna wa polisi kuwa mkuu wa taasisi ya kupambana na rushwa nchini humo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani