Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Buhari amteua mkuu wa polisi kukabili rushwa

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amemteua kamishna wa polisi kuwa mkuu wa taasisi ya kupambana na rushwa nchini humo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Raisi Kikwete amteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail:  ikulumawasiliano@yahoo.com
              press@ikulu.go.tz             
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
      THE STATE HOUSE,
              P.O. BOX 9120,  
DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Kenya amteua mkuu mpya wa Polisi

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amemteua Joseph Chirchir Boinet kama inspekta jenerali mpya wa polisi.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMTEUA ERNEST MANGU KUWA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI

Kamishna wa Polisi Ernest Mangu aliyeteuliwa na Rais Kikwete kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Desemba 30, 2013, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Taarifa iliyotolewa usiku wa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa Kamishna Mangu anachukua nafasi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Muhammadu Buhari kupambana na rushwa

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameteua kamati itakayomshauri njia sahihi ya kupambana na rushwa na mfumo wa sheria nchini humo.

 

10 years ago

Habarileo

Watoa haki washauriwa kukabili rushwa ya ngono

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohammed Othman Chande JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohammed Othman Chande amewataka majaji, mahakimu na wasaidizi wa sheria, kufuata maadili ya kazi hiyo, pamoja na kuongoza mapambano dhidi ya rushwa hasa ya ngono ambayo inaonekana kukithiri.

 

10 years ago

Habarileo

JK ataka mafunzo yenye ufanisi kukabili rushwa

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kuanzisha mafunzo yatakayotolewa kwa watu maalumu kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa namna ya kupambana na rushwa nchini kwa ufanisi.

 

10 years ago

Habarileo

Katibu Mkuu UN amteua Kikwete

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moonKATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon, amemteua Rais Jakaya Kikwete kuwa Mwenyekiti wa Jopo la Ngazi ya Juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Afya.

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU OFISI YA RAIS BUHARI AFARIKI DUNIA

Kiongozi wa ofisi ya rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amefariki baada ya kupatikana na virusi vya Corona.
Kupitia taarifa, ofisi ya Buhari imesema imesikitishwa na kifo cha Abba Kyari ambaye alikuwa na ushawishi mkubwa katika utawala wa Rais huyo.Taarifa hiyo imesema kuwa marehemu alifariki jana Ijumaa kutokana na ugonjwa wa COVID-19.

Kyari aliyekuwa katika miaka ya sabini, ni mtu wa kwanza mwenye cheo cha juu nchini Nigeria kufariki kutokana na ugonjwa wa COVID-19.

Nchi hiyo yenye idadi kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani