Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waagizwa kuacha visingizio vya kutotekeleza miradi

HALMASHAURI ZA wilaya na Manispaa mkoani Lindi ziache visingizio vya kutotekeleza miradi ya maendeleo kwa wakati kutokana mfumo wa fedha kwa kutumia malipo kwa mitandao maarufu (EPICOR).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Polisi waagizwa kuacha rushwa

POLISI wametakiwa kubadili tabia kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye matatizo, yanayohitaji huduma za kipolisi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yathibitisha visa vinne , raia waagizwa kuvaa barakoa

Waziri wa Afya nchini Kenya Mutahi Kagwe ametangaza kwamba Kenya imethibitisha visa vinne zaidi vya virusi vya corona

 

9 years ago

Habarileo

Lema akiri kutotekeleza ahadi Arusha

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema amesema ameshindwa kutimiza ahadi alizoahidi mwaka 2010 za maendeleo katika jimbo hilo kwa kuwa muda mwingi alikuwa akitumia katika kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na wanaCCM watatu kupinga ushindi wake wa ubunge.

 

5 years ago

Michuzi

RC.GAMBO MALIZENI MIRADI YA MAJI NDANI YA MKATABA SANJARI NA KUFUNGA VIFAA VYA VITUO VYA AFYA


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Arusha alipofanya ziara ya kutembelea Kituo cha Afya Kaloleni kujionea shughuli mbalimbali kwenye kituo hicho ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku tatu kukagua miradi ya Afya na Maji kwenye Halmashauri zote za mkoa huo hii ikiwa ni ziara yake kwenye halmashauri ya jiji la Arusha mwishoni mwaka wiki picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha...

 

9 years ago

Press

TUME YA MIPANGO OFISI YA RAIS YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME VYA KIDATU NA KIHANSI

 

SONY DSC

Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia na kupata maelezo kutoka kwa Injinia wa kituo Bw. Rajabu Kindunda (wa tatu kulia) kuhusu Bwawa la Kidatu ambalo maji hukusanywa kutoka mto Rufiji kabla ya kutumika kwa ajili ya kuzalisha umeme. Wengine pamoja nae ni wataalamu kutoka Tume ya Mipango na TANESCO.

SONY DSC

Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia eneo la...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME VYA KIDATU NA KIHANSI

SONY DSC Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyekaa) akipata maelezo kuhusu namna Kituo cha Kihansi kinavyofanyakazi kwa kutumia teknolojia ya kisasa ambayo imeboresha utendaji kazi kwa wafanyakazi na mitambo ambayo inatumika kuzalisha nishati ya umeme. 
SONY DSC Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) pamoja na maofisa kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakipata maelezo kutoka kwa Injinia...

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Habari Vijana,Utamaduni na Michezo yakagua miradi ya vikundi vya Vijana vya Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma

Katibu wa Kikundi cha Muungano kilichopo kijiji cha Oloboloti kata ya Mrijo Halmashauri ya Chemba Mkoani Dodoma kinachojishughulisha na mradi wa kilimo cha nyanya aliyenyoosha mikono katikati Bw Juma Ally akitoa maelezo kwa Afisa wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa tatu kutoka kushoto Bi Amina Sanga katika ziara ya kukagua miradi ya Vijana, ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yanayotolewa na Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Mfuko wa Vijana. Katibu wa Kikundi cha Umoja...

 

9 years ago

StarTV

Wananchi wahimizwa kusikiliza sera za vyama vya siasa na kuacha ushabiki

Wananchi wametakiwa kuacha ushabiki wa vyama na badala yake wajitokeze kusikiliza sera za vyama mbalimbali vya siasa nchini ili waweze kuchagua kiongozi kutokana na sera zitakazowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Hayo yamebainishwa na mgombea ubunge jimbo la Buchosa kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Marco Manyilizu wakati wa kunadai sera za chama hicho kwa wananchi wa Kata ya Nyehunge wilayani Sengerema. 

Akizungumza katika mkutano wa kampeni mgombea huyo amesema kuwa...

 

9 years ago

Habarileo

Kerr aanza visingizio

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr amesema kuwa, kufungwa kwa timu yake na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), mabao 2-0 kunatokana na wachezaji sita kutokuwemo katika kikosi hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani