Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wahimizwa kusikiliza sera za vyama vya siasa na kuacha ushabiki

Wananchi wametakiwa kuacha ushabiki wa vyama na badala yake wajitokeze kusikiliza sera za vyama mbalimbali vya siasa nchini ili waweze kuchagua kiongozi kutokana na sera zitakazowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Hayo yamebainishwa na mgombea ubunge jimbo la Buchosa kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Marco Manyilizu wakati wa kunadai sera za chama hicho kwa wananchi wa Kata ya Nyehunge wilayani Sengerema. 

Akizungumza katika mkutano wa kampeni mgombea huyo amesema kuwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea wa CCM awatahadharisha wananchi kutoendelea kusikiliza propaganda za vyama vya upinzani

SAM_0074 Mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki (CCM),Bwana Jonathani Njau )aliyesimama katikati ya uwanja akiwaomba kura za kuwa mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Okt,25, mwaka huu.

Na, Jumbe Ismailly, Ikungi     

MGOMBEA wa ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Jonathani Njau amewataka wananchi wa jimbo hilo kutokuwa tayari kuendelea kusikiliza Propaganda za kisiasa,walizozisikiliza kwa kipindi cha miaka mitano sasa,na...

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA UCHAGUZI MKIKIMKIKI 2015 WAZINDULIWA VYAMA VIKUU VYA SIASA KUJADILI SERA ZAO

TWAWEZA inatangaza uzinduzi wa midahalo iitwayo Mkikimkiki 2015. Midahalo hii imeanzishwa ili kutoa fursa na jukwaa kwa vyama vya siasa kunadi sera zao kwa wananchi. Aidha midahalo hii tawapa wananchi fursa ya kuwahoji na kuwapima wagombea na wataalamu wa vyama vikuu vya siasa.
Mfululizo huu wa midahalo umekuja wakati muafaka. Utafiti ulidhaminiwa na Twaweza, uligundua kuwa wananchi 8 kati ya 10 wanafikiri kuwa wagombea ubunge (78%) na urais (79%) wanapaswa kuwa na midahalo ya pamoja. Mbali...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AWATAKA WANANCHI KUACHA USHABIKI BADALA YAKE WACHAGUE VIONGOZI WENYE SIFA NA WANAOFAA KULIONGOZA TAIFA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi waliojitokeza kwenye ofisi za CCM mkoa wa Singida jioni hii ambapo aliwahutubia wananchi na kuwaeleza kuwa huu ni wakati wa kuchagua kiongozi wa kutuongoza hivyo ni vyema wananchi kupima na kuacha ushabiki.  Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia na Mkuu wa mkoa wa Singida,Dkt.Parseko kone mara baada ya kuwasili mkoani humo na kuwasalimia wananchi akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera akiwa ameambatana Katibu...

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge awataka wananchi kuacha siasa, wachape kazi

MBUNGE wa Manonga, Seif Gulamali, amewataka watumishi wa serikali katika jimbo hilo kutojihusisha na siasa na badala yake wawahudumie wananchi kutokana na maadili ya kazi zao.

 

10 years ago

GPL

USINZIBE MDOMO VIKOSI VYA ULINZI VYAMA VYA SIASA?!

Elnest Mangu. TANZANIA tuna majeshi kadhaa na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotambulika kisheria. Tunalo Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza. Chini yake, JWTZ unawakuta JKT, kwa polisi, tunao Zimamoto, FFU, Usalama barabarani (Trafiki) na Mgambo. Majeshi na vikosi hivi vina majukumu yanayofahamika na kukubalika. Kwa hiyo haishangazi tunapoona polisi wakitumika kuwakamata majambazi, ambao wakati mwingine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani