Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wafukuzwa kwa rushwa Uturuki

Polisi waandamizi watano nchini Uturuki wamefukuzwa kazi kutokana na tuhuma vitendo vya rushwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

POLISI WANNE WAFUKUZWA KAZI KWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHALIFU

Kamanda  wa kanda maalum ya Dar es salaam  Kamishina Suleman Kova akizungumza na wanahabari muda huu ofisini kwake juu ya kufukuzwa kwa askari hao. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewafukuza kazi kwa fedheha askari wanne wa Jeshi la Polisi kutokana na makosa ya kujihusisha na vitendo vya uhalifu. Askari waliofukuzwa wanatoka katika vikosi mbalimbali kama ifuatavyo: 
E.6396 CPL RAJABU MKWENDA @ UGORO wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachuo 212 wa Chuo cha Polisi Moshi wafukuzwa kwa kughushi vyeti

>Jeshi la Polisi limewafukuza chuo wanafunzi wa mafunzo ya uaskari 212 wa Chuo Cha Taaluma Moshi baada ya wanafunzi hao kubainika kughushi vyeti vya elimu ya sekondari.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi 4 wafukuzwa kazi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaASKARI polisi wanne jijini Dar es Salaam wamefukuzwa kazi, kutokana na kile kilichodaiwa ni kujihusisha na vitendo vya uhalifu.

 

5 years ago

Michuzi

KINARA USAMBAZAJI ZANA HARAMU ZA UVUVI MBARONI MWANZA, POLISI WANNE WADAKWA KWA RUSHWA


NA BALTAZAR MASHAKA,Mwanza
KIGOGO na kinara wa uingizaji na usambazaji wa zana haramu za uvuvi katika Ziwa Victoria , Jeremiah Asama ( 48),mkazi wa Bwiru, Manispaa ya Ilemela  ni miongoni mwa watu sita wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi  jijini Mwanza, huku mtuhumiwa wa saba  akidaiwa kutoroka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro alisema juzi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu  kukamatwa kwa watu hao wakiwemo askari wanne wa jeshi hilo wanaodaiwa kukiuka maadili ya...

 

11 years ago

Michuzi

News Alert:WANAFUNZI 212 WA UASKARI CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI WAFUKUZWA BAADA YA KUBAINIKA KUTUMIA VYETI FEKI

Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya sekondari..
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Taaluma na Utumishi wa jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo ya taluma ya Polisi mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Kamishna...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wafukuzwa kwa wizi

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Ilunda, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Daudi Isaya na viongozi wengine wawili wamevuliwa madaraka yao kutokana na tuhuma za kuhusika na wizi wa milango...

 

11 years ago

Habarileo

Walimu 4 wafukuzwa kazi kwa mapenzi na wanafunzi

WALIMU wanne wa kiume wa Shule ya Sekondari Mwembetogwa ya mjini Iringa, wamefukuzwa kazi baada ya kubainika wakijihusisha na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasichana 35 wafukuzwa shule kwa mimba, utoro

BODI ya Shule ya Sekondari Munkinya, Kata ya Dung’unyi wilayani Ikungi, Singida imewafukuza shule wanafunzi 35 kwa sababu za utoro, mimba na ukosefu wa nidhamu. Mkuu wa Shule hiyo, Joseph...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani