Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi 4 wafukuzwa kazi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaASKARI polisi wanne jijini Dar es Salaam wamefukuzwa kazi, kutokana na kile kilichodaiwa ni kujihusisha na vitendo vya uhalifu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

POLISI WANNE WAFUKUZWA KAZI KWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHALIFU

Kamanda  wa kanda maalum ya Dar es salaam  Kamishina Suleman Kova akizungumza na wanahabari muda huu ofisini kwake juu ya kufukuzwa kwa askari hao. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewafukuza kazi kwa fedheha askari wanne wa Jeshi la Polisi kutokana na makosa ya kujihusisha na vitendo vya uhalifu. Askari waliofukuzwa wanatoka katika vikosi mbalimbali kama ifuatavyo: 
E.6396 CPL RAJABU MKWENDA @ UGORO wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Trafiki watatu wafukuzwa kazi

traffic mapenziNA RENATHA KIPAKA, BUKOBA

JESHI la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kulifedhehesha jeshi hilo kutokana na kitendo cha kupiga picha inayowaonyesha wawili kati yao wakinyonyana ndimi wakiwa kazini.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe, alisema kitendo kilichofanywa na askari hao kimeshusha hadhi ya jeshi.

Aliwataja askari hao waliofukuzwa ni F.7788 PC Mpaji Mwasumbi, G 2122 PC Fadhili Linga na WP.8898 Veronica...

 

10 years ago

Habarileo

Watumishi 1,200 wafukuzwa kazi

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim MajaliwaJUMLA ya watumishi 1,205 wamechukuliwa hatua mbalimbali na Serikali, ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi, kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma, kati ya mwaka 2010/11 na 2014/15.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Trafiki kumi wafukuzwa kazi

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limewafukuza kazi askari wake 10 kwa kosa la kwenda kinyume cha kanuni na  sheria za jeshi hilo. Akizungumza na waandishi wa habari  jijini...

 

11 years ago

Habarileo

Walimu 4 wafukuzwa kazi kwa mapenzi na wanafunzi

WALIMU wanne wa kiume wa Shule ya Sekondari Mwembetogwa ya mjini Iringa, wamefukuzwa kazi baada ya kubainika wakijihusisha na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi wafukuzwa kwa rushwa Uturuki

Polisi waandamizi watano nchini Uturuki wamefukuzwa kazi kutokana na tuhuma vitendo vya rushwa

 

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WAANDAMIZI SABA WA TANESCO WAFUKUZWA KAZI KWA TUHUMA MBALIMBALI

Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Felschimi Mramba akizungumza na waandishi habari juu ya mikakati mbalimbali ya uzalishaji umeme katika mazungumzo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji (Uzalishaji na Huduma kwa Mteja), Mhandisi Sophia Mgonja, Kushoto ni Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uzalishaji Umeme, Nazir Kachwamba, kushoto kutoka kulia ni Meneja Uhusiano Adrian Severine.Waandishi habari wakimisikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felschimi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachuo 212 wa Chuo cha Polisi Moshi wafukuzwa kwa kughushi vyeti

>Jeshi la Polisi limewafukuza chuo wanafunzi wa mafunzo ya uaskari 212 wa Chuo Cha Taaluma Moshi baada ya wanafunzi hao kubainika kughushi vyeti vya elimu ya sekondari.

 

11 years ago

Michuzi

News Alert:WANAFUNZI 212 WA UASKARI CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI WAFUKUZWA BAADA YA KUBAINIKA KUTUMIA VYETI FEKI

Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya sekondari..
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Taaluma na Utumishi wa jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo ya taluma ya Polisi mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Kamishna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani