POLISI NA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA RUSHWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uh63MD1i0gk/UyW1ckq81EI/AAAAAAAFT9s/hBzIdl9Qbgg/s72-c/unnamed+(29).jpg)
Maafisa na Askari Polisi hapa nchini wametakiwa badili tabia zao kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye Matatizo yanayohitaji huduma za kipolisi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi, wakati akitoa mada kwa washiriki wa Mafunzo ya kuimarisha Miundombinu ya Maadili na mapambano dhidi ya Rushwa yanayotolewa kwa Wakuu wa Polisi wa Tarafa na Majimbo yanayofanyika mjini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 May
WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRIKA WAKUTANA ARUSHA KUANGALIA JINSI WATAKAVYOWEZA KUPAMBANA NA KUFIKIA MALENGO YA KUTOKOMEZA RUSHWA NDANI YA BARA LA AFRICA
![SAM_2509](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/9-k5J5k6fm9jZTkuMpDrMhitlwBqEw_7Tpv94yj-R37as0YwVtKE2Cv376zcE5eCeFdx1PuN5OdL4Pf9Y4akzA2LAdr8f35CXyk_QtU9446J_Q4=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/05/sam_2509.jpg)
![SAM_2498](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/iFmxPrDRlg6bKxDo_mmRvhFvNMyonw6Z2OilMaPInkVnjjRupaGxhm8awC7a72tCFbRiea7S1lhvQtncqYkPyrXgxrfBjX46jXjoAcTwhulz8lE=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/05/sam_2498.jpg)
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Mikakati kupambana na wahamiaji haramu
10 years ago
BBCSwahili23 Feb
Mikakati ya kupambana na ugaidi Australia
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
WHO yasaka mikakati kupambana na Ebola
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Muhammadu Buhari kupambana na rushwa
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Rais wa Argentina kupambana na rushwa
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Magufuli amfuta mkuu wa kupambana na rushwa
5 years ago
MichuziBARAZA LA WAFANYAKAZI NFRA WAASWA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA VITENDO
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Kilimo Bi Hilda Kinanga akisisitiza jambo wakati akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya kwenye ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi lililofanyika leo tarehe 21 Mei 2020 katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha Ujenzi Mkoani Morogoro. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA Ndg Milton Lupa (Kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha...