Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli amfuta mkuu wa kupambana na rushwa

Rais wa Tanzania John Magufuli amemfuta kazi Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa akisema hajaridhishwa na utenda kazi wake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli amfuta kazi afisa mkuu wa reli

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa kampuni ya reli Tanzania (RAHCO) Benhadard Tito.

 

5 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AVITAKA VYOMBO VYA MAHAKAMA KUPAMBANA NA RUSHWA ILI KUEPUSHA UCHELEWESHAJI WA HAKI

Charles James, Michuzi TV

MAHAMAMA nchini zimetakiwa kupambana na vitendo vya rushwa ili kuzuia ucheleweshaji wa haki unaofanywa kwenye kesi na mashauri mbalimbali yanayofunguliwa.

Wito huo umetolewa jijini Dodoma na Jaji Mkuu nchini, Prof Ibrahim Juma alipokuwa akifungua kongamano la wadau kujadili rushwa katika mfumo wa utoaji haki nchini.

Jaji Mkuu amesema amesema vitendo vya rushwa hushamiri zaidi katika taasisi zinazo chelewesha haki na hivyo kutaka hatua zaidi za mapambano dhidi ya rushwa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUWA MKUTANO MKUU WA 12 WA SHIRIKISHO LA TAASISI ZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA NCHI ZA SADC

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Angel Magati ambaye aliimba wimbo maalum wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.  Sehemu ya wadau toka...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 12 WA SHIRIKISHO LA TAASISI ZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA NCHI ZA SADC

Meza kuu ikiungana na wajumbe kusimama kimya kwa muda wa dakika moja kumkumbuka Rais wa Zambia Marehemu Michael Satta kabla ya ufunguzi wa  Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana  na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRIKA WAKUTANA ARUSHA KUANGALIA JINSI WATAKAVYOWEZA KUPAMBANA NA KUFIKIA MALENGO YA KUTOKOMEZA RUSHWA NDANI YA BARA LA AFRICA

SAM_2509Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano AICC katika kuangalia jinsi gani wataweza kupambana na kufikia malengo ya kutokomeza Rushwa ndani ya Bara La Africa.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_2498Makamu Mwenyekiti bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa Mh.Florince...

 

10 years ago

BBCSwahili

Museveni amfuta Waziri mkuu Kazi

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amefuta kazi waziri mukuu wake Amama Mbabazi kazi.

 

10 years ago

Habarileo

Museveni amfuta kazi Waziri Mkuu

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amemfuta kazi Waziri Mkuu na mtu wake wa karibu, Amama Mbabazi. Taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari ilisema Rais Museveni alimshukuru Mbabazi kwa mchango wake kwa nchi ya Uganda, ambapo pia alimtangaza mrithi wa kiti hicho cha Waziri Mkuu kuwa ni Ruhakana Rugunda ambaye sasa anasubiri kuidhinishwa na bunge.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Museveni amfuta kazi Waziri mkuu

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemfuta kazi waziri mkuu, Amama mbabazi na kumteua Dk Ruhakana Rugunda kushika wadhifa huo .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani