Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli amfuta kazi afisa mkuu wa reli

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa kampuni ya reli Tanzania (RAHCO) Benhadard Tito.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Museveni amfuta kazi Waziri Mkuu

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amemfuta kazi Waziri Mkuu na mtu wake wa karibu, Amama Mbabazi. Taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari ilisema Rais Museveni alimshukuru Mbabazi kwa mchango wake kwa nchi ya Uganda, ambapo pia alimtangaza mrithi wa kiti hicho cha Waziri Mkuu kuwa ni Ruhakana Rugunda ambaye sasa anasubiri kuidhinishwa na bunge.

 

10 years ago

BBCSwahili

Museveni amfuta Waziri mkuu Kazi

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amefuta kazi waziri mukuu wake Amama Mbabazi kazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Museveni amfuta kazi Waziri mkuu

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemfuta kazi waziri mkuu, Amama mbabazi na kumteua Dk Ruhakana Rugunda kushika wadhifa huo .

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli amfuta mkuu wa kupambana na rushwa

Rais wa Tanzania John Magufuli amemfuta kazi Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa akisema hajaridhishwa na utenda kazi wake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais Magufuli amfuta kazi mtumishi wa serikali aliyechana kitabu kitakatifu cha Kurani

Mtumishi huyo alionekana kwenye mitandao ya kijamii akichana Kurani takatifu juma lililopita.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...

 

10 years ago

Mtanzania

Blatter amfuta kazi bosi Fifa

Press-Conference-at-FIFA-headquartersZURICH, USWISI
MKURUGENZI wa Mawasiliano wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Walter De Gregorio, amefutwa kazi baada ya kutoa maneno yenye utani kuhusu shirikisho hilo kwenye televisheni ya Uswisi.
Gregorio alizungumza kwenye kipindi cha Schawinski kuwa: “Rais wa Fifa, Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Mawasiliano wote wanasafiri kwenye gari. Nani ni dereva? Jibu ni polisi.”
Fifa imetangaza jana kwenye taarifa yao kuwa De Gregorio ameamua “kuachia madaraka kwenye ofisi yake”.
Lakini inaaminika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe amfuta kazi makamu wake

Rais Robert Mugabe amemfuta kazi makamu wake Joice Mujuru, kufuatia ushindani wa uongozi katika chama tawala cha ZANU-PF.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Mugabe amfuta kazi makamu wake


Taarifa kutoka nchini Zimbabwe zinasema kuwa Rais Robert Mugabe amemfuta kazi makamu wake Joice Mujuru, kufuatia ushindani wa uongozi katika chama tawala cha ZANU-PF.

Awali Bi Joyce Mujuru, alikanusha madai kuwa yeye ni mfisadi na alihusika na njama ya kutaka kumuua rais Robert Mugabe.

Bi Mujuru alilaaniwa na Rais Mugabe wiki iliyopita na kuondolewa kutoka wadhifa wake wa makamu wa rais wa chama tawala cha ZANU-PF wakati wa kongamano la chama hicho mjini Harare.

Amesema ameendelea kupokea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani