Rais Mugabe amfuta kazi makamu wake
Taarifa kutoka nchini Zimbabwe zinasema kuwa Rais Robert Mugabe amemfuta kazi makamu wake Joice Mujuru, kufuatia ushindani wa uongozi katika chama tawala cha ZANU-PF.
Awali Bi Joyce Mujuru, alikanusha madai kuwa yeye ni mfisadi na alihusika na njama ya kutaka kumuua rais Robert Mugabe.
Bi Mujuru alilaaniwa na Rais Mugabe wiki iliyopita na kuondolewa kutoka wadhifa wake wa makamu wa rais wa chama tawala cha ZANU-PF wakati wa kongamano la chama hicho mjini Harare.
Amesema ameendelea kupokea...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mugabe amfuta kazi makamu wake
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Rais Museveni amfuta kazi Waziri mkuu
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA JAPAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA KAZI NCHINI, MASAKI OKADA
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Rais Magufuli amfuta kazi mtumishi wa serikali aliyechana kitabu kitakatifu cha Kurani
11 years ago
Dewji Blog23 Jun
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal amkaribisha Makamu wa Rais wa China na Ujumbe wake Ikulu Dar leo, wasaini mikataba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo juni 23, 2014 akiongozana na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. Li Yuanchao, yupo nchini kwa ziara ya siku sita. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li...
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA CHINA NA UJUMBE WAKE IKULU DAR LEO, WASAINI MIKATABA
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Mugabe amteua makamu mpya wa Rais
10 years ago
VijimamboRAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...
10 years ago
Dewji Blog22 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal amaliza ziara yake ya siku tatu, nchini China, akutana na mwenyeji wake makamu wa Rais wa China
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili kwenye Ukumbi Maalum kwa watu wa China. ‘Peoples Great Hall’, jijini Beijing China kwa ajili ya mazungumzo rasmi, alipoalikwa kwenye chakula cha jioni na Makamu wa Rais wa China baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo.Mei 20, 2015. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...