Mugabe amfuta kazi makamu wake
Rais Robert Mugabe amemfuta kazi makamu wake Joice Mujuru, kufuatia ushindani wa uongozi katika chama tawala cha ZANU-PF.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Dec
Rais Mugabe amfuta kazi makamu wake
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/09/141209103755_joyce_mujuru_624x351__nocredit.jpg)
Taarifa kutoka nchini Zimbabwe zinasema kuwa Rais Robert Mugabe amemfuta kazi makamu wake Joice Mujuru, kufuatia ushindani wa uongozi katika chama tawala cha ZANU-PF.
Awali Bi Joyce Mujuru, alikanusha madai kuwa yeye ni mfisadi na alihusika na njama ya kutaka kumuua rais Robert Mugabe.
Bi Mujuru alilaaniwa na Rais Mugabe wiki iliyopita na kuondolewa kutoka wadhifa wake wa makamu wa rais wa chama tawala cha ZANU-PF wakati wa kongamano la chama hicho mjini Harare.
Amesema ameendelea kupokea...
10 years ago
Habarileo20 Sep
Museveni amfuta kazi Waziri Mkuu
RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amemfuta kazi Waziri Mkuu na mtu wake wa karibu, Amama Mbabazi. Taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari ilisema Rais Museveni alimshukuru Mbabazi kwa mchango wake kwa nchi ya Uganda, ambapo pia alimtangaza mrithi wa kiti hicho cha Waziri Mkuu kuwa ni Ruhakana Rugunda ambaye sasa anasubiri kuidhinishwa na bunge.
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Museveni amfuta Waziri mkuu Kazi
10 years ago
Mtanzania13 Jun
Blatter amfuta kazi bosi Fifa
ZURICH, USWISI
MKURUGENZI wa Mawasiliano wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Walter De Gregorio, amefutwa kazi baada ya kutoa maneno yenye utani kuhusu shirikisho hilo kwenye televisheni ya Uswisi.
Gregorio alizungumza kwenye kipindi cha Schawinski kuwa: “Rais wa Fifa, Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Mawasiliano wote wanasafiri kwenye gari. Nani ni dereva? Jibu ni polisi.”
Fifa imetangaza jana kwenye taarifa yao kuwa De Gregorio ameamua “kuachia madaraka kwenye ofisi yake”.
Lakini inaaminika...
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Rais Museveni amfuta kazi Waziri mkuu
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Magufuli amfuta kazi afisa mkuu wa reli
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-6amsb-P4kMw/VPRtt_aKnlI/AAAAAAADbQo/7Bg2iZArn3s/s72-c/01%2B(2).jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA JAPAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA KAZI NCHINI, MASAKI OKADA
![](http://3.bp.blogspot.com/-6amsb-P4kMw/VPRtt_aKnlI/AAAAAAADbQo/7Bg2iZArn3s/s1600/01%2B(2).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ed8OKxWWqIM/VPRttxZBlXI/AAAAAAADbQs/P4fSAL2iPJ8/s1600/02%2B(2).jpg)
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Rais Magufuli amfuta kazi mtumishi wa serikali aliyechana kitabu kitakatifu cha Kurani
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-BQ9L9imJgsw/VDRA32RgSnI/AAAAAAABbHU/dXh96zofOe8/s72-c/.......................................................................OthmanMasoudOthman.jpg)
RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-BQ9L9imJgsw/VDRA32RgSnI/AAAAAAABbHU/dXh96zofOe8/s640/.......................................................................OthmanMasoudOthman.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...