Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Argentina kupambana na rushwa

Rais mpya wa Argentine, Mauricio Macri,ameahidi kupambana na rushwa na hatamuonea huruma mtu yeyote atakaye kiuka sheria .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 12 WA SHIRIKISHO LA TAASISI ZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA NCHI ZA SADC

Meza kuu ikiungana na wajumbe kusimama kimya kwa muda wa dakika moja kumkumbuka Rais wa Zambia Marehemu Michael Satta kabla ya ufunguzi wa  Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana  na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.… ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUWA MKUTANO MKUU WA 12 WA SHIRIKISHO LA TAASISI ZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA NCHI ZA SADC

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Angel Magati ambaye aliimba wimbo maalum wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.  Sehemu ya wadau toka...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR.


Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akifurahia jambo na baadhi ya Viongozi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo,uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR

Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, kufungua rasmi mkutano wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika,...

 

10 years ago

Vijimambo

WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRIKA WAKUTANA ARUSHA KUANGALIA JINSI WATAKAVYOWEZA KUPAMBANA NA KUFIKIA MALENGO YA KUTOKOMEZA RUSHWA NDANI YA BARA LA AFRICA

SAM_2509Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano AICC katika kuangalia jinsi gani wataweza kupambana na kufikia malengo ya kutokomeza Rushwa ndani ya Bara La Africa.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_2498Makamu Mwenyekiti bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa Mh.Florince...

 

10 years ago

BBCSwahili

Muhammadu Buhari kupambana na rushwa

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameteua kamati itakayomshauri njia sahihi ya kupambana na rushwa na mfumo wa sheria nchini humo.

 

11 years ago

Michuzi

POLISI NA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA RUSHWA

Maafisa na Askari Polisi hapa nchini  wametakiwa badili tabia zao kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye Matatizo yanayohitaji huduma za kipolisi.   Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi, wakati akitoa mada kwa washiriki wa Mafunzo ya kuimarisha Miundombinu ya Maadili na mapambano dhidi ya Rushwa yanayotolewa kwa Wakuu wa Polisi wa Tarafa na Majimbo yanayofanyika mjini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli amfuta mkuu wa kupambana na rushwa

Rais wa Tanzania John Magufuli amemfuta kazi Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa akisema hajaridhishwa na utenda kazi wake.

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAFANYAKAZI NFRA WAASWA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA VITENDO


Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Kilimo Bi Hilda Kinanga akisisitiza jambo wakati akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya kwenye ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi lililofanyika leo tarehe 21 Mei 2020 katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha Ujenzi Mkoani Morogoro. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA Ndg Milton Lupa (Kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani