Mikakati ya kupambana na ugaidi Australia
Waziri mkuu wa Australia Tony Abbot ametangaza mikakati mipya ya kupambana na ugaidi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Australia kuchunguzi Ugaidi
Uchunguzi mpya umeanzishwa rasmi nchini Australia katika mji wa Sydney kutokana na shambulio la kigaidi.
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Ufaransa na mikakati dhidi ya Ugaidi
Ufaransa imesema imedhamiria kutokomeza makundi ya wapiganaji wa Kiislam, kufuatia shambulio la Kigaidi la mwishoni mwa juma.
10 years ago
BBCSwahili18 Apr
Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Australia
Polisi nchini Australia wamewakamata wanaume watano kufuatia oparesheni ya kupambana na ugaidi kwenye mji wa Melbourne.
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Mvulana akiri mashtaka ya ugaidi Australia
Mvulana wa umri wa miaka 17 aliyekamatwa na polisi mjini Melbourne mwezi Mei mwaka huu, amekiri mashtaka yanayohusiana na ugaidi.
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Mikakati kupambana na wahamiaji haramu
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuongeza zaidi fungu la fedha katika operesheni kudhibiti wahamiaji haramu, barani Ulaya.
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
WHO yasaka mikakati kupambana na Ebola
Wataalamu wa maswala ya Afya ulimwenguni kutoka WHO wanakutana kujadili hatua mpya za kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uh63MD1i0gk/UyW1ckq81EI/AAAAAAAFT9s/hBzIdl9Qbgg/s72-c/unnamed+(29).jpg)
POLISI NA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA RUSHWA
Maafisa na Askari Polisi hapa nchini wametakiwa badili tabia zao kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye Matatizo yanayohitaji huduma za kipolisi.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi, wakati akitoa mada kwa washiriki wa Mafunzo ya kuimarisha Miundombinu ya Maadili na mapambano dhidi ya Rushwa yanayotolewa kwa Wakuu wa Polisi wa Tarafa na Majimbo yanayofanyika mjini...
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mataifa ya Kiislamu 34 kupambana na ugaidi
Saudi Arabia imetangaza kuundwa kwa muungano wa mataifa ya Kiislamu 34 utakaopambana na tishio la ugaidi kote duniani
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Uingereza kuongeza fedha za kupambana na ugaidi
Uingereza itaongeza maradufu uwekezaji katika usalama wa kimitandao, ili kukabiliana na ongezeko la hatari ya mashambulizi ya kigaidi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania