Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mataifa ya Kiislamu 34 kupambana na ugaidi

Saudi Arabia imetangaza kuundwa kwa muungano wa mataifa ya Kiislamu 34 utakaopambana na tishio la ugaidi kote duniani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mikakati ya kupambana na ugaidi Australia

Waziri mkuu wa Australia Tony Abbot ametangaza mikakati mipya ya kupambana na ugaidi

 

9 years ago

BBCSwahili

Uingereza kuongeza fedha za kupambana na ugaidi

Uingereza itaongeza maradufu uwekezaji katika usalama wa kimitandao, ili kukabiliana na ongezeko la hatari ya mashambulizi ya kigaidi.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania yahudhuria mkutano wa tathmini ya Mkakati wa Umoja wa Mataifa dhidi ya ugaidi

Na Mwandishi Maalum, New York Wakati wajumbe wanaoshiriki mkutano wa tathmini kuhusu Mkakati wa Umoja wa Mataifa  dhidi ya ugaidi wakilaani matukio ya kigaidi yanayotekea katika nchi mbalimbali, baadhi ya wajumbe hao wametaka matukio hayo yasihusishwe na madhehebu ya dini iwayo yoyete ile.  Mkutano huo wa siku mbili umemalizika siku ya Ijumaa hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa na Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe....

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LAPONGEZA JUHUDI ZA TANZANIA KATIKA KUPAMBANA NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA

Na Said Mwishehe, Michuzi Blogu ya jamii

KAIMU Kamishina Jenerali wa Mamlaka  ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya nchini James Kaji amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza kwa asilimia 90 uingizwaji wa dawa za kulevya nchini kupitia ukanda wa Bahari ya Hindi na kwamba  Serikali ya Awamu ya Tano imepongezwa na Umoja wa Mataifa kupitia Shirika lake la UNODC linaloshughulika na dawa hizo na uhalifu kutokana na kutambua juhudi zake katika kukomesha biashara hiyo.

Akizungumza leo...

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

 

11 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WARSHA YA MASHIRIKIANO YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KATIKA KUPAMBANA NA UHALIFU WA UNAOLENGA MALIASILI WATOA MICHANGO YAO KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI.

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa,TANAPA Pascal Shelutete akikaribisha mijadala kwa washiriki katika warsha ya Mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama Baadhi ya Washiriki katika Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini majadiliano.Mhifadhi mkuu Mtango Mtaiko akiwasilisha mada kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu TANAPA ,Allan Kijazi juu ya majukumu na changamoto zinazoikabiri TANAPA kwa ujumla.Meneja Ulinzi wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA ,Emily Kisamo akiwasilisha mada juu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtandao wa kiislamu kukabiliana na IS

Viongozi wa kiislamu kutoka matifa tofauti ya Ulaya wameanzisha jarida la mtandaoni litakalokabiliana na itikadi kali za IS

 

10 years ago

Michuzi

muhadhara wa kiislamu Leicester,UK

Asalaam aleykum wa Rahmatul Lah, Ndugu zangu katika imani, An Noor Community Centre wakishirikiana na Madrasatul Noor Leicester wana furaha na heshima kubwa ya kukupeni mwaliko wa muhadhara wa kiislamu utakaofanyika kwa utaratibu ufuatao:
Siku: Jumamosi tarehe 27 Septemba 2014Wakati: Kuanzia saa kumi kamili  jioni (4pm). Pahala: Msikiti wa An Noor Leicester, 170a Belgrave Gate, LE1 3XL.Muhadhir: Sheikh Nassor Haroub kutoka London. 
Waislamu wote wa kike na wa kiume mnaombwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa kiislamu wazuru Garissa

Viongozi kadhaa wa kiislamu nchini Kenya wanazuru mji wa mashariki wa Garissa ambapo wiki ilopita watu 148 waliuawa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani