muhadhara wa kiislamu Leicester,UK
Asalaam aleykum wa Rahmatul Lah, Ndugu zangu katika imani, An Noor Community Centre wakishirikiana na Madrasatul Noor Leicester wana furaha na heshima kubwa ya kukupeni mwaliko wa muhadhara wa kiislamu utakaofanyika kwa utaratibu ufuatao:
Siku: Jumamosi tarehe 27 Septemba 2014Wakati: Kuanzia saa kumi kamili jioni (4pm). Pahala: Msikiti wa An Noor Leicester, 170a Belgrave Gate, LE1 3XL.Muhadhir: Sheikh Nassor Haroub kutoka London.
Waislamu wote wa kike na wa kiume mnaombwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Mtandao wa kiislamu kukabiliana na IS
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mataifa ya Kiislamu 34 kupambana na ugaidi
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Ufaulu somo la Kiislamu waongezeka
KIWANGO cha ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa elimu ya dini ya Kiislamu Agosti 13 mwaka huu kimeongezeka kwa asilimia 46 ukilinganishwa na mwaka jana. Hayo yalibainishwa jana jijini Dar...
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Viongozi wa kiislamu wazuru Garissa
10 years ago
Mwananchi18 May
Taasisi za Kiislamu zaburutana kortini
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Taasisi za Kiislamu zamshukia Lukuvi
JUMUIYA na taasisi za Kiislamu nchini zimemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi kujiuzulu haraka iwezekanavyo kutokana na kauli za uchochezi alizozitoa wakati...
11 years ago
Habarileo05 Apr
Taasisi ya Kiislamu yataka serikali 2
TAASISI ya Amani kwa Waislamu ya Islamic Peace Foundation (TIPF) imesema muundo wa serikali unaofaa kwa sasa ni Serikali mbili, kinachotakiwa ni kuongeza juhudi katika kurekebisha kasoro zilizopo na siyo kuongeza mzigo kwa kuwa na serikali tatu.
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Wanazuoni wa Kiislamu wajibu hoja ya maaskofu
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
ISIS: Njooni mulijenge jimbo la kiislamu