Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa kiislamu wazuru Garissa

Viongozi kadhaa wa kiislamu nchini Kenya wanazuru mji wa mashariki wa Garissa ambapo wiki ilopita watu 148 waliuawa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES SALAAM‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  katika futari aliyowaandalia ikulu jijini Dar es salaam. Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es… ...

 

9 years ago

Global Publishers

Viongozi wa Chuo cha Kiislamu cha Imam Swadiq watoa salamu za Krismas

IMG-20151223-WA0001

Sheikh Hemed Jalala akiongea na waandhishi wa habari (hawapo pichani).

IMG-20151223-WA0005

Sheikh Hemed Jalala akisisitiza jambo.

IMG-20151223-WA0004

IMG-20151223-WA0008Waandishi wa habari wakichukua matukio.

Viongozi wa Chuo cha Kiislam cha Imam Swadiq, watoa salamu za pongezi kwa Wakristo katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas.

Sheikh Hemed Jalala alisema: “Wakristo ni ndugu zetu kwa msingi mkuu wa ubinadamu, hivyo umoja wa kijamii na kitaifa unaunganishwa na ubinadamu na si itikadi.”

(Habari/Picha: Gabriel Ng’osha)

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazuru kiwanda cha kimea Moshi

VIONGOZI wa Vyama vya Ushirika mkoani Arusha, wamefanya ziara kiwanda cha kimea kinachomilikiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na kuonesha kufurahishwa na namna kimea kinavyoandaliwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge 19 wanawake wa Tanzania wazuru China

WABUNGE wanawake 19 wa Bunge la Tanzania wako China katika ziara ya siku 11 yenye lengo la kubadilishana na kujifunza kwa wenzao masuala ya uongozi na wanavyojihusisha kwenye shughuli za kijamii.

 

11 years ago

GPL

WASTARA, CLOUD WAZURU MAKABURI YA WASANII WENZAO

Cloud, Mtitu, Wastara, Steve Nyerere, Barafu na Chiki katika kaburi la Adam Kuambiana.…

 

10 years ago

Michuzi

WANAMUZIKI KUTOKA KONGO WAZURU JIJI LA DAR

Mwanamuziki wa Dance hapa  nchini ambaye anafanya shughuli zake nchini Uingereza, Said Tumba  akizungumza na  Globu ya Jamii na kuwaasa wasanii wa muziki hapa nchini  kutumia vyombo vya asili na si kutumia  vionjo vya kompyuta mara baada ya kufika hapa nchini katika hoteli ya Don Suite iliyoko Ilala, Bungoni jijini Dar es Salaam.  Mwanamuziki wa Dance nchini Kongo, Fiston Lusambo (Filsa Papa) akizungumza na Globu ya Jamii juu ya ujio wao hapa nchini katika hoteli ya Don Suite iliyopo Ilala,...

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA ARSENAL WAZURU KWA KUENDELEZA SOKA NCHINI

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Uongozi  wa Timu ya Soka ya Arsenal kutoka nchini Uingereza umezuru Tanzania kwa ajili kuhamasisha na kuendeleza soka hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo, Mkurugenzi wa Uhusiano na Maendeleo wa timu  hiyo ,Sam Stone amesema kuwa Tanzania ni  nchi ya sita kwa ukubwa katika bara la Afrika hivyo watasaidia katika kukuza soka nchini.
Amesema kesho watakuwa na mazungumzo na Rais wa Shirikisho la  Mpira wa Miguu nchini...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MFALME WA JAPANI PRINCE AKISHINO NA MKEWE WAZURU HIFADHI YA NGORONGORO

 Mwana wa mfalme wa Japan Prince Fumihito Akishino na mkewe Kiko, wakifurahia ngoma za makabila la Wadatoga (Barbaig) na ile ya Wamasai, katika eneo la mlango wa Loduare kwenye hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro, pamoja nao wapo pia maafisa wa mamlaka hiyo, Bruno Kawasange na Adam Akyoo pamoja na Mkuu wa wilaya ya Karatu, Felix Daudi Ntibenda.  wakiwa wanafurahia ngoma za wamasai pamoja na wabarabaigi. Katika picha nyingine Mwana huyo wa mfalme wa Japan akipewa maelezo kuhusu shughuli za...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MFALME WA JAPANI PRINCE FUMIHITO NA MKEWE WAZURU HIFADHI YA NGORONGORO

 Mwana wa mfalme wa Japan Prince Fumihito Akishino na mkewe Kiko, wakifurahia ngoma za makabila la Wadatoga (Barbaig) na ile ya Wamasai, katika eneo la mlango wa Loduare kwenye hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro, pamoja nao wapo pia maafisa wa mamlaka hiyo, Bruno Kawasange na Adam Akyoo pamoja na Mkuu wa wilaya ya Karatu, Felix Daudi Ntibenda.  wakiwa wanafurahia ngoma za wamasai pamoja na wabarabaigi  Katika picha nyingine Mwana huyo wa mfalme wa Japan akipewa maelezo kuhusu shughuli za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani