Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UONGOZI WA ARSENAL WAZURU KWA KUENDELEZA SOKA NCHINI

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Uongozi  wa Timu ya Soka ya Arsenal kutoka nchini Uingereza umezuru Tanzania kwa ajili kuhamasisha na kuendeleza soka hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo, Mkurugenzi wa Uhusiano na Maendeleo wa timu  hiyo ,Sam Stone amesema kuwa Tanzania ni  nchi ya sita kwa ukubwa katika bara la Afrika hivyo watasaidia katika kukuza soka nchini.
Amesema kesho watakuwa na mazungumzo na Rais wa Shirikisho la  Mpira wa Miguu nchini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mfuko wa Pensheni wa PPF watembelewa na uongozi wa club ya Arsenal kwa lengo la kujitangaza

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF ndugu William Erio (katikati) akipokea jezi ya timu ya Arsenal kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano ya Kimaendeleo ya Arsenal Bwana Sam Stone (kulia). Kushoto ni Meneja wa Mahusiano ya Kimaendeleo ya Arsenal Bwana Daniel Willey.Lengo la ziara hiyo ni kuanzisha mahusiano kati ya PPF na Club ya Arsernal kwa kuendelea kujenga imani kwa wateja wao na kuendelea kujitangaza. Uongozi wa club ya Arsenal ukipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: TFF iachane na Ligi Kuu, ijikite kuendeleza soka

>Hivi karibuni Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) lilitangaza orodha ya viwango vya ubora kwa nchi wanachama wake duniani inayoonyesha Tanzania imeshuka kwa nafasi mbili kutoka 105 iliyoshika mwezi uliopita hadi nafasi ya 107.

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal yapoteza uongozi wa ligi

Baada ya kutoka sare ya kutofungana bao lolote na Chelsea siku ya Jumatatu katika uwanja wa Emirates

 

11 years ago

Michuzi

JUHUDI ZA UONGOZI WA MKOA WA RUKWA KUENDELEZA UTALII WA MAPOROMOKO YA KALAMBO (KALAMBO FALLS) ZAENDELEA

Kaimu Afisa Ardhi na Maliasili Wilaya ya Kalambo Ndugu Makwasa Biswalo (katikati) akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya eneo lililopimwa katika kijiji cha Kapozwa kwa ajili ya kuendeleza Utalii katika Kijiji hicho ambacho kina maporomoko ya mto Kalambo (Kalambo Falls), maporomoko ambayo ni ya pili kwa urefu barani Afrika yakiwa na urefu wa mita 235. 
Zipo jitihada kadhaa zilizokwishafanywa na uongozi wa Mkoa wa Rukwa ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Eng. Stella Manyanya katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

AzamTV yaja na Kwetu House (search for the Ultimate Fun) kwa mashabiki wa Soka nchini

kwetu house

AzamTV  wamezindua mashindano yatakayowahusisha wapenzi wa kandanda yatakayojulikana kama KWETU HOUSE.  Mashindano haya  ambayo ni mara ya kwanza Tanzania yatashirikisha wapenzi na mashabiki wa mpira wa miguu ambapo  watu kumi wa 10 wa timu mbalimbali watachaguliwa na kuishi katika nyumba moja kwa muda wa siku 3 wakionyesha ni jinsi gani wao ni mashabiki namba mmoja kwa timu zao .

Akizindua mashindano hayo, Mkurugenzi mtendaji wa AzamTV, bwana Rhys Torrington alisema: Lengo kuu la kufanya...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUKABIDHIWA MADARAKA YA UONGOZI KWA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia anayemaliza muda wake, Evaristus Shikongo(katikati) akipokea Salaamu ya heshima toka kwa Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maafisa na Askari wa Magereza wa Namibia(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukabidhi rasmi Uongozi(kulia) ni Waziri wa Ulinzi na Usalama Nchini Namibia, Mhe. Immanuel Ngatjizeko na kushoto kwake ni Kamishna Jenerali Mpya wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Hamunyela. Sherehe hizo zimefanyika Februari 01, 2014 katika Chuo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuendeleza viwanda nchini

SERIKALI imeahidi itaendelea kusaidia sekta ya viwanda, hususani vya ndani kwa kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, ili kuhakikisha vinasaidia kutoa mchango katika kukuza uchumi na maendeleo ya jamii. Akizumgumza katika...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA RASILIMALI NCHINI (TIB) YAKABIDHI MICHORO HALISI YA KITUO CHA MABASI KWA UONGOZI WA MANISPAA YA MOSHI.



Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB) Jaffer Machano akizungumza wakati wa kikao kifupi kati ya uongozi wa TIB na ule wa Manispaa ya Moshi juu ya Ujenzi wa kituo kipya cha kisasa cha Mabasi cha Ngangamfumuni .Kikao kinaendelea.Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa kikao hicho.Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi ,Shaban Ntarambe akitoa neno la shukrani wakati ujumbe wa Benki ya Rasilimanli nchini TIB ulipotembelea ofisini kwake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani