Arsenal yapoteza uongozi wa ligi
Baada ya kutoka sare ya kutofungana bao lolote na Chelsea siku ya Jumatatu katika uwanja wa Emirates
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
UONGOZI WA ARSENAL WAZURU KWA KUENDELEZA SOKA NCHINI
Uongozi wa Timu ya Soka ya Arsenal kutoka nchini Uingereza umezuru Tanzania kwa ajili kuhamasisha na kuendeleza soka hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo, Mkurugenzi wa Uhusiano na Maendeleo wa timu hiyo ,Sam Stone amesema kuwa Tanzania ni nchi ya sita kwa ukubwa katika bara la Afrika hivyo watasaidia katika kukuza soka nchini.
Amesema kesho watakuwa na mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini...
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
Arsenal warejea juu ya Ligi
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Arsenal yaongoza Ligi, yaichapa Bournemouth

Mshambuliaji wa Arsenal, Mesut Ozil, akifunga bao la pili katika dakika ya 63 dhidi ya Bournemouth Uwanja wa Emirates, London.

Mesut Ozil akishangilia baada ya kufunga.

ARSENAL...
11 years ago
StarTV06 Oct
Ligi ya Uingereza, Chelsea yaitandika Arsenal 2-0.
Katika ligi kuu ya England jana mamilioni ya wapenda soka duniani waliokuwa wakishuhudia mtanange kati ya Chelsea na Arsenal walishuhudia Chelsea wakiibuka kidedea kwa jumla ya mabao 2-0 yakifungwa na Eden Hazard katika dakika ya 27 kwa njia ya penalti na dakika ya 78 likifungwa na Diego Costa mwenye magoli tisa katika mechi saba alizocheza katika ligi kuu hiyo ya primier.
Pamoja na mchuano uwanjani hapo lakini nao makocha wa timu hizo Jose Mourinho wa Chelsea na Arsene Wenger wa Arsenal...
11 years ago
BBCSwahili31 Dec
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Arsenal yapeta Ligi Kuu England
11 years ago
BBCSwahili08 Feb
Arsenal, Liverpool hapatoshi ligi kuu
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mfuko wa Pensheni wa PPF watembelewa na uongozi wa club ya Arsenal kwa lengo la kujitangaza
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPL
ARSENAL WAKIJIANDAA NA LIGI YA MABINGWA SIKU YA KESHO