Ligi ya Uingereza, Chelsea yaitandika Arsenal 2-0.
Katika ligi kuu ya England jana mamilioni ya wapenda soka duniani waliokuwa wakishuhudia mtanange kati ya Chelsea na Arsenal walishuhudia Chelsea wakiibuka kidedea kwa jumla ya mabao 2-0 yakifungwa na Eden Hazard katika dakika ya 27 kwa njia ya penalti na dakika ya 78 likifungwa na Diego Costa mwenye magoli tisa katika mechi saba alizocheza katika ligi kuu hiyo ya primier.
Pamoja na mchuano uwanjani hapo lakini nao makocha wa timu hizo Jose Mourinho wa Chelsea na Arsene Wenger wa Arsenal...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo03 May
5 years ago
MichuziLIGI KUU UINGEREZA KUENDELEA TENA JUNI 17, MAN CITY VS ARSENAL
Mechi hizo zikiwa ni viporo zitawakutanisha mabingwa watetezi Manchester City dhidi ya Arsenal na Aston Villa dhidi ya Sheffield United huku ratiba kamili ikianzia wikiendi ya Juni 19-21.
Bado kuna jumla ya mechi 92 ambazo zinahitaji kuchezwa na vilabu vyote 20 baada ya Ligi hiyo kusiimamishwa kwa muda usiojulikana Machi 13 kutokana na mlipuko wa...
9 years ago
MichuziLigi Kuu ya Zanzibar: JKU yaitandika KVZ bao 2-0 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Amaan
Mchezo uliochezwa jioni mabao ya JKU yamefungwa katika kipindi cha kwanza na katika dakika ya 8 mshambuliaji wa Timu ya JKU Mbarouk Chande ameipatia bao timu yake katika dakika ya nane ya mchezo huo kipindi cha kwanza na Bao la ushindi la JKU limepatikana katika kipindi hicho cha kwanza katika dakika ya 35 ya...
11 years ago
BBCChelsea 6-0 Arsenal
9 years ago
BBCSwahili19 Sep
Chelsea vs Arsenal
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Usipime Chelsea, Arsenal
10 years ago
BBCSwahili01 Aug
Arsenal kupambana na Chelsea
10 years ago
GPLARSENAL, CHELSEA NGUVU SAWA