Usipime Chelsea, Arsenal
Ni nani atalia, pia nani atacheka? Hili ni swali ambalo linaulizwa leo zinapokutana timu kadhaa za Ligi Kuu England, zikiwamo pinzani za London, Chelsea , Arsenal, Man United na Everton.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili19 Sep
Chelsea vs Arsenal
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73747000/jpg/_73747811_73747596.jpg)
Chelsea 6-0 Arsenal
10 years ago
BBCSwahili01 Aug
Arsenal kupambana na Chelsea
11 years ago
BBCSwahili23 Mar
Arsenal yaadhibiwa vikali na Chelsea
10 years ago
BBCSwahili14 Dec
Mancity,Chelsea na Arsenal zawika
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Arsenal,Mancity na Chelsea uwanjani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IxPfzOrgAhc5XgAkQSDidFzcaQGaDxwg*gMtN-2PTrZNoe7EXorhvzCYAzu2sNbrFx*ijKqe*uWyuxi8zQFQEiaFp3C58D3q/1.jpg?width=650)
ARSENAL, CHELSEA NGUVU SAWA
10 years ago
BBCSwahili23 Jun
Arsenal kumsajili kipa wa Chelsea
10 years ago
StarTV06 Oct
Ligi ya Uingereza, Chelsea yaitandika Arsenal 2-0.
Katika ligi kuu ya England jana mamilioni ya wapenda soka duniani waliokuwa wakishuhudia mtanange kati ya Chelsea na Arsenal walishuhudia Chelsea wakiibuka kidedea kwa jumla ya mabao 2-0 yakifungwa na Eden Hazard katika dakika ya 27 kwa njia ya penalti na dakika ya 78 likifungwa na Diego Costa mwenye magoli tisa katika mechi saba alizocheza katika ligi kuu hiyo ya primier.
Pamoja na mchuano uwanjani hapo lakini nao makocha wa timu hizo Jose Mourinho wa Chelsea na Arsene Wenger wa Arsenal...