Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAMUZIKI KUTOKA KONGO WAZURU JIJI LA DAR

Mwanamuziki wa Dance hapa  nchini ambaye anafanya shughuli zake nchini Uingereza, Said Tumba  akizungumza na  Globu ya Jamii na kuwaasa wasanii wa muziki hapa nchini  kutumia vyombo vya asili na si kutumia  vionjo vya kompyuta mara baada ya kufika hapa nchini katika hoteli ya Don Suite iliyoko Ilala, Bungoni jijini Dar es Salaam.  Mwanamuziki wa Dance nchini Kongo, Fiston Lusambo (Filsa Papa) akizungumza na Globu ya Jamii juu ya ujio wao hapa nchini katika hoteli ya Don Suite iliyopo Ilala,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

maafisa wa serikali kutoka jimbo la Katanga nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watua dar

Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe akiongea wakati wa kuwakaribisha ujumbe wa maafisa wa serikali kutoka jimbo la Katanga nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumatatu usiku katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere.  Wengine ni Naibu Gavana wa Jimbo hilo, Bw. Yav Guilbert (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi wa Jimbo hilo, Bw. Kahozi Sumba (kulia). Ujumbe huo upo nchini kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo.

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI JIJI LA DAR ES SALAAM

 Bei za matunda mbalimbali katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kama zinavyoonekana katika picha.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)



 

10 years ago

GPL

INAFRIKA BAND KUTOKA DAR WATINGISHA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI

Inafrika Band aka Wazee wa Indege wakifunika bila ya huruma mjini Bremen,Ujerumani. Inafrika Band wakifanya kweli bremen,Ujerumani.…

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA CORONA


Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo Daladala  Mbezi Luis wilaya ya Ubungo  leo kabla ya kuingia ndani ya daladala  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
 Wananchi wa jiji la Dar es Salaam leo wakinawa mikono katika kituo cha daladala  Mbagala   rangi Tatu wilaya ya Temeke kabla ya kuingia ndani ya daladala  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana...

 

10 years ago

Michuzi

INAFRIKA BAND KUTOKA DAR WATINGISHA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI, TANZANIAN FOLK MUSIC MADE IN BONGO TO THE WORLD YAKUBALIKA KIMATAIFA!

Bendi ya muziki INAFRIKA BAND aka "Wazee wa Indege" kutoka jiji Dar es salaam, imelitingisha jiji la Bremen, nchini Ujerumani katika onyesho liliofanyika usiku wa 13 Februari 2015 katika ukumbi mkubwa wa Musik-Theater mjini humo. Bendi hiyo kutoka Chang'ombe ilisimama jukwaani na kuziteka nyoyo za maelfu ya wapenzi wa muziki kiasi cha kutajwa kuwa bendi bora ya muziki wa Folk na radio Funkhaus-Europe kutokana na vionjo vya mitindo ya muziki wa asili wa makabila ya Kitanzania vilivyotumiwa na...

 

10 years ago

Michuzi

shamrashamra za manunuzi ya nguo za krismasi mtaa wa kongo jijini dar leo


SHAMRA SHAMRA ZA MANUNUZI YA BIDHAA ZA KRISMAX MTAA WA KONGOBaadhi ya akina mama wakichagua nguo Mfanyabiashara  katika mtaa wa kongo akipuliza mrija wenye maji ya sabuni ambayo anauza 
mama huyu akitengenezwa nywele baada ya kununua mtaa wa Kongo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA JIJI

 Bei za mchele katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam  kamainavyoonekana katika picha.Bei za bidhaa mbalimbali katika maeneo mbalimbali ya jiji laDar es Salaam, kamazinavyo onekana katika picha.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinunu mahitaji yao mbalimbali katika duka la vyakula kamainavyo onekana pichani. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa kiislamu wazuru Garissa

Viongozi kadhaa wa kiislamu nchini Kenya wanazuru mji wa mashariki wa Garissa ambapo wiki ilopita watu 148 waliuawa

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge 19 wanawake wa Tanzania wazuru China

WABUNGE wanawake 19 wa Bunge la Tanzania wako China katika ziara ya siku 11 yenye lengo la kubadilishana na kujifunza kwa wenzao masuala ya uongozi na wanavyojihusisha kwenye shughuli za kijamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani