Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Australia kuchunguzi Ugaidi

Uchunguzi mpya umeanzishwa rasmi nchini Australia katika mji wa Sydney kutokana na shambulio la kigaidi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mikakati ya kupambana na ugaidi Australia

Waziri mkuu wa Australia Tony Abbot ametangaza mikakati mipya ya kupambana na ugaidi

 

10 years ago

BBCSwahili

Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Australia

Polisi nchini Australia wamewakamata wanaume watano kufuatia oparesheni ya kupambana na ugaidi kwenye mji wa Melbourne.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mvulana akiri mashtaka ya ugaidi Australia

Mvulana wa umri wa miaka 17 aliyekamatwa na polisi mjini Melbourne mwezi Mei mwaka huu, amekiri mashtaka yanayohusiana na ugaidi.

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mauaji Australia

Polisi nchini Australia wamewakamata watu wanne kuhusiana na mauaji ya mfanyakazi mmoja wa polisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani