Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chikawe kuanza na kero ya rushwa polisi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mathias Chikawe.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mathias Chikawe amesema atashughulikia tatizo la polisi kulalamikiwa kula rushwa kwa kuwaandalia mazingira mazuri, ambayo hata akiulizwa kwa nini anakula rushwa hatakuwa na jibu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kero la rushwa mahakamani TZ

Wiki hii katika Haba na Haba tunaangalia tatizo la rushwa katika mfumo wa mahakama nchini Tz

 

10 years ago

Mwananchi

Kulipa faini kwa mtandao kutapunguza rushwa, kero

Rais Jakaya Kikwete, ameliagiza Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kuanzisha mfumo wa ulipaji faini za makosa ya madereva kwa njia ya benki na mitandao ya simu za mkononi, ili kupunguza ushawishi wa rushwa kwa askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI

JESHI la Polisi mkoani Arusha, litaanza ujenzi wa kituo kidogo cha polisi katika kata ya Kisongo wilayani Arumeru mkoani hapa baada ya jitihada za Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuwapa eneo la ujenzi huo ili kuondoa kero kwa wananchi.

Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.

Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...

 

5 years ago

Michuzi

Nyasa kuanza ujenzi wa Kituo cha afya Kata ya Kingerikiti kutatua kero ya wananchi

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, inatarajia kuanza ujenzi wa Kituo cha afya katika Kata ya Kingerikiti, tarafa ya Mpepo, na kutatua kero ya wananchi wa kata hiyo waliokuwa wakisafiri umbali wa takriban Kilometa 40 kufuata huduma za matibabu katika Wilaya ya Mbinga.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw. Jimson Mhagama, wakati akiongea na wananchi wa Kata ya Kingerikiti kwa lengo la kutambulisha mradi na kuwashirikisha Wananchi ili waweze kushirikiana na Serikali kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Waliopata umeme wa Rea kwa rushwa kuanza kuchunguzwa

Wananchi waliounganishiwa umeme kwa kutoa rushwa kwenye mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) mkoani Kagera, wataanza kufanyiwa uchunguzi mwezi huu, imeelezwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

CCM kuanza kuwatimua viongozi wavivu, wasio na kazi na wala rushwa

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kua CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia kaaikia wananchi kuhusu tika mkutano wa hadhara Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo aliwananga wapinzania kwamba wanahangaika na maandamano...

 

11 years ago

Mwananchi

Chikawe: Sitavumilia polisi wababaishaji wasiojua lengo lao

Waziri ya Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe amesema hatamvumilia askari yeyote anayefanya kazi kinyume na taaluma yake, badala ya kuwalinda wananchi na mali zao.

 

10 years ago

Habarileo

Chikawe ataka polisi kuungwa na mkongo bila malipo

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe ameiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuviunganisha vituo vyote vya polisi na mkongo wa taifa bila malipo ili kurahisisha mawasiliano kwa Jeshi la Polisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani