Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kero la rushwa mahakamani TZ

Wiki hii katika Haba na Haba tunaangalia tatizo la rushwa katika mfumo wa mahakama nchini Tz

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Chikawe kuanza na kero ya rushwa polisi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mathias Chikawe.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mathias Chikawe amesema atashughulikia tatizo la polisi kulalamikiwa kula rushwa kwa kuwaandalia mazingira mazuri, ambayo hata akiulizwa kwa nini anakula rushwa hatakuwa na jibu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kulipa faini kwa mtandao kutapunguza rushwa, kero

Rais Jakaya Kikwete, ameliagiza Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kuanzisha mfumo wa ulipaji faini za makosa ya madereva kwa njia ya benki na mitandao ya simu za mkononi, ili kupunguza ushawishi wa rushwa kwa askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtandao wa rushwa mahakamani uvunjwe

Jana katika safu ya ‘Ndani ya Habari’ tulichapisha habari za uchunguzi zinazothibitisha kwamba kuna mtandao mkubwa ambao umeota mizizi katika mahakama zetu nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Hakimu mahakamani kwa rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Shinyanga imemfikisha mahakamani Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Isungang’holo iliyopo kijiji cha Gimagi kata ya Shaghila wilaya ya Kishapu kwa mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

FIFA: Sexwale mahakamani kuhusu rushwa

Tokyo Sexwale amefika mbele ya majaji wa Marekani katika jiji la New York, kama sehemu ya uchunguzi unaoendelea kuhusiana na madai ya ulaji rushwa ndani ya FIFA.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtandao wa rushwa mahakamani huu hapa

>Mahakama ni chombo kilichoanzishwa, kwa mujibu wa Katiba na chenye mamlaka kisheria ya kutoa haki katika jamii kuhusu mashauri mbalimbali ya kijinai, mauaji au madai ili mkosaji aadhibiwe na asiye na hatia aachiwe.

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WATUMISHI SABA TPA ,WAKILI WA KUJITEGEMA KWA TUHUMA ZA MAKOSA YA RUSHWA, UHUJUMU UCHUMI NA WIZI WA SH.BILIONI NANE


Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WATUMISHI saba wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA) pamoja na Wakili wa Kujitegemea kutoka Kampuni ya Mnengele &Associates na ELA Advocatee watafikishwa mahakamani wakati wowote kwa kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hayo yameelezwa leo Juni 12 mwaka 2020 na Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza Daud Ndyamukama kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari ambapo amefafanua watumishi hao tayari...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mla rushwa atamkamataje mtoa rushwa?

‘SIASA’ yaweza kutafsiriwa hivi: shughuli za serikali, wanachama wa asasi za kutunga sheria au watu wanaojaribu kufanya maamuzi kuhusiana na jinsi nchi inavyotawaliwa. Pia mkakati wa kuendesha jambo kwa kutumia...

 

10 years ago

Vijimambo

WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRIKA WAKUTANA ARUSHA KUANGALIA JINSI WATAKAVYOWEZA KUPAMBANA NA KUFIKIA MALENGO YA KUTOKOMEZA RUSHWA NDANI YA BARA LA AFRICA

SAM_2509Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano AICC katika kuangalia jinsi gani wataweza kupambana na kufikia malengo ya kutokomeza Rushwa ndani ya Bara La Africa.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_2498Makamu Mwenyekiti bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa Mh.Florince...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani