Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atakiwa kuonesha hati ya kumkamata bosi wa UDA

SAKATA la mfanyabiashara wa Dar es Salaam, kushutumu viongozi wa Jeshi la Polisi na Serikali kwa madai ya kushindwa kumkamata mwendeshaji wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa kudaiwa kuvamia kiwanja Mbagala, limechukua sura mpya, baada ya mfanyabiashara, Alex Msama kutakiwa kuonesha amri ya Mahakama inayoagiza Kisena kukamatwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Amri ya kumkamata bosi TRA yaondolewa

KATIBU wa Bodi ya Rufaa ya Kodi katika Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara, Respicius Mwijage ameamuru maombi ya kumkamata Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kumpeleka gerezani kwa kukiuka amri ya bodi hiyo, yaondolewe.

 

10 years ago

Habarileo

Bosi wa kampuni ya UDA kukamatwa

Robert Kisena MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, Robert Kisena na mwenzake kwa kuwa hawajafika mahakamani kusomewa mashitaka yanayowakabili.

 

11 years ago

Habarileo

Bosi UDA ashitakiwa bungeni

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika amemshitaki Mwenyekiti Mtendaji wa Simon Group inayoendesha Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, kutokana na kudai wabunge wa Dar es Salaam wamehongwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Bosi wa Uda kujieleza bungeni

Mgogoro wa uwekezaji katika Shirika la Usafirishaji Dar es Salama (Uda) umechukua sura mpya baada ya Bunge kuamua Mkurugenzi wa Simon Group inayoendesha shirika hilo, Robert Kisena ahojiwe na Kamati ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge kutokana na kuingilia kati madaraka hayo.

 

9 years ago

Mwananchi

Museveni kumkamata Mbabazi

Kampala, Uganda. Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametishia kuwakamata wafuasi wa mgombea urais wa Chama cha Go Forward, Amama Mbabazi kwa kusababisha ghasia kati yao na wanachama wa chama chake cha National Resistance Movement (NRM) kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Ntungamo mwezi huu.

 

9 years ago

Mtanzania

Mahakama yatishia kumkamata Lwakatare

Pg.1Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilitishia kumkamata Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare baada ya kutokuwapo mahakamani hapo.

Kauli ya Hakimu Thomas Simba imetolewa  baada ya Mdhamini wa mshtakiwa, Paschal Mwita kudai mahakamani hapo kuwa mshtakiwa huyo hakuwapo  mahakamani na kwamba amesafiri kwenye shughuli zake za ubunge.

Wakili Mwandamizi wa serikali, Pamela Shinyambala alidai kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Interpol yaomba msaada kumkamata jangili

Hatimaye Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) imewapigia magoti Watanzania ikitaka msaada wao katika kumsaka mtuhumiwa wa kwannza katika kesi ya utoroshaji wanyamapori hai 100 kwa ndege ya jeshi la Pakistani kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro.

 

10 years ago

BBCSwahili

ICC yaitaka A. Kusini kumkamata Bashir

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC imeitaka Afrika Kusini kumkamata rais wa Sudan Omar Al-Bashir

 

10 years ago

BBCSwahili

Seleka wadai malipo kwa kumkamata Ongwen

Waasi wa kundi la Seleka katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wanasema kuwa wanapaswa kutuzwa kwa kumkamata kamanda mkuu wa kundi la waasi la Uganda, LRA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani