Bosi wa Uda kujieleza bungeni
Mgogoro wa uwekezaji katika Shirika la Usafirishaji Dar es Salama (Uda) umechukua sura mpya baada ya Bunge kuamua Mkurugenzi wa Simon Group inayoendesha shirika hilo, Robert Kisena ahojiwe na Kamati ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge kutokana na kuingilia kati madaraka hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 May
Bosi UDA ashitakiwa bungeni
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika amemshitaki Mwenyekiti Mtendaji wa Simon Group inayoendesha Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, kutokana na kudai wabunge wa Dar es Salaam wamehongwa.
10 years ago
Habarileo17 Jul
Bosi wa kampuni ya UDA kukamatwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, Robert Kisena na mwenzake kwa kuwa hawajafika mahakamani kusomewa mashitaka yanayowakabili.
11 years ago
Habarileo16 Jan
Atakiwa kuonesha hati ya kumkamata bosi wa UDA
SAKATA la mfanyabiashara wa Dar es Salaam, kushutumu viongozi wa Jeshi la Polisi na Serikali kwa madai ya kushindwa kumkamata mwendeshaji wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa kudaiwa kuvamia kiwanja Mbagala, limechukua sura mpya, baada ya mfanyabiashara, Alex Msama kutakiwa kuonesha amri ya Mahakama inayoagiza Kisena kukamatwa.
11 years ago
Habarileo14 May
Bosi UNDP ashauri Ukawa warudi bungeni
KIONGOZI wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Helen Clark, ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kurejea kujadili katika bunge hilo. Akijibu swali la waandishi wa habari jana, Clark ambaye ndiye kiongozi wa Shirika hilo duniani, aliwataka Ukawa kutumia fursa ya Bunge Maalumu la Katiba kuipa nchi Katiba bora, badala ya kuyumbisha mchakato kwa kususia vikao vyake.
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Uda yazua kizaazaa bungeni
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Wema:azomewa licha ya Kujieleza
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
Watangaza nia na sanaa ya kujieleza ( 4)
JUMA la jana tuliangazia mambo muhimu ya kuzingatia unapokwenda kutoa hotuba.
9 years ago
Habarileo25 Dec
Niyonzima sasa kujieleza Yanga
KATIBU Mkuu wa Yanga Dk Jonas Tiboroha, amesema uongozi wa klabu hiyo umemtaka kiungo wake Mnyarwanda Haruna Niyonzima kujieleza kwa maandishi kwanini asichukuliwe hatua kwa utovu wa nidhamu alioonesha.
11 years ago
Habarileo25 May
Mawaziri kujieleza kwa Kikwete
IKIWA ni takribani mwaka mmoja sasa tangu Serikali ilipoamua kuanza kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), hatimaye mawaziri wanaotekeleza Mpango huo watawekwa `kikaangoni’ Julai mwaka huu.