Bosi UDA ashitakiwa bungeni
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika amemshitaki Mwenyekiti Mtendaji wa Simon Group inayoendesha Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, kutokana na kudai wabunge wa Dar es Salaam wamehongwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 May
Bosi wa Uda kujieleza bungeni
10 years ago
Habarileo17 Jul
Bosi wa kampuni ya UDA kukamatwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, Robert Kisena na mwenzake kwa kuwa hawajafika mahakamani kusomewa mashitaka yanayowakabili.
11 years ago
Habarileo16 Jan
Atakiwa kuonesha hati ya kumkamata bosi wa UDA
SAKATA la mfanyabiashara wa Dar es Salaam, kushutumu viongozi wa Jeshi la Polisi na Serikali kwa madai ya kushindwa kumkamata mwendeshaji wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa kudaiwa kuvamia kiwanja Mbagala, limechukua sura mpya, baada ya mfanyabiashara, Alex Msama kutakiwa kuonesha amri ya Mahakama inayoagiza Kisena kukamatwa.
11 years ago
Habarileo14 May
Bosi UNDP ashauri Ukawa warudi bungeni
KIONGOZI wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Helen Clark, ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kurejea kujadili katika bunge hilo. Akijibu swali la waandishi wa habari jana, Clark ambaye ndiye kiongozi wa Shirika hilo duniani, aliwataka Ukawa kutumia fursa ya Bunge Maalumu la Katiba kuipa nchi Katiba bora, badala ya kuyumbisha mchakato kwa kususia vikao vyake.
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Uda yazua kizaazaa bungeni
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Gwajima ashitakiwa
Asifiwe George na Evans Magege
HATIMAYE Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameshitakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa makosa mawili ya kutoa lugha ya matusi na uzembe wa kuhifadhi silaha yake.
Askofu Gwajima ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, waliotajwa mahakamani hapo kuwa ni Yekonia Behanaze, Jofrey Andrew na George Mzava.
Mbele ya Hakimu Mkazi Wilfred Dyansobera, wakili upande wa Serikali, Joseph Maugo, alidai kuwa Askofu Gwajima anakabiliwa na...
10 years ago
Raia Tanzania25 Jun
Ashitakiwa kwa kutelekeza familia
MFANYABIASHARA Baseif Salum (46), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kujibu shitaka la kutelekeza familia.
Mbele ya Hakimu Benjamin Mwakasonda, Karani Hatanawe Kitogo, mwishoni mwa wiki alidai mshitakiwa alitenda kosa hilo Januari Mosi mwaka huu, saa 4:00 asubuhi, eneo la Kariakoo, wilayani Ilala.
Anadaiwa kumtelekeza mkewe Rahma Said na watoto wawili bila kumpatia huduma yoyote, huku akijua anatenda kosa hilo kinyume cha sheria.
Mshitakiwa alikana kutenda...
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Msichana kutoka Syria ashitakiwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9h2OjxKkWdz8SxDG-ZNoE98rxpR9NCwMqVsJcf5*dKNJRrRBAs-cIEMOCh0YdzLy2BTLDHx4rjJ*q7Qt7vbtxX1MBLELy-8/odinga.jpg?width=650)
ALIYEMCHAPA ODINGA BAKORA ASHITAKIWA