Bosi wa kampuni ya UDA kukamatwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, Robert Kisena na mwenzake kwa kuwa hawajafika mahakamani kusomewa mashitaka yanayowakabili.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 May
Bosi UDA ashitakiwa bungeni
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika amemshitaki Mwenyekiti Mtendaji wa Simon Group inayoendesha Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, kutokana na kudai wabunge wa Dar es Salaam wamehongwa.
11 years ago
Mwananchi21 May
Bosi wa Uda kujieleza bungeni
11 years ago
Habarileo16 Jan
Atakiwa kuonesha hati ya kumkamata bosi wa UDA
SAKATA la mfanyabiashara wa Dar es Salaam, kushutumu viongozi wa Jeshi la Polisi na Serikali kwa madai ya kushindwa kumkamata mwendeshaji wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa kudaiwa kuvamia kiwanja Mbagala, limechukua sura mpya, baada ya mfanyabiashara, Alex Msama kutakiwa kuonesha amri ya Mahakama inayoagiza Kisena kukamatwa.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s72-c/images.jpg)
makala mpya ya sheria: MILIKI KAMPUNI , JIFUNZE NAMNA YA KUUNDA KAMPUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s1600/images.jpg)
Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni.
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Rp3uz9B8j7A/VUskEjDV8DI/AAAAAAAHV18/BJ-VQYHbA0A/s72-c/1.1774256.jpg)
MJASIRIAMALI UNAHITAJI KAMPUNI, FAHAMU KITU KIITWACHO “ MIKATABA KABLA YA KAMPUNI”.
![](http://3.bp.blogspot.com/-Rp3uz9B8j7A/VUskEjDV8DI/AAAAAAAHV18/BJ-VQYHbA0A/s320/1.1774256.jpg)
Ni jambo la kutia faraja kuwa vijana wengi wamekuwa wajasiriamali na wanafanya biashara mbambali katika maeneo mbalimbali ya nchi. Wengine biashara ni nzuri na wengine wanalalamika biashara sio nzuri. Kila mtu ana muono wake kuhusu mwenendo wa biashara zake.
Pamoja na hayo ushahidi wa sayansi ya biashara unathibitisha kuwa kwa asilimia zaidi ya 70 suala la biashara kuwa mbaya au nzuri hutokana na mtu mwenyewe...
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA TINGATINGA IMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA BRICOLEUR HOLDINGS Co.LIMITED YA JAPAN.
Makabidhiano ya Mkataba huo yamefanyika leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited, Shoji Tsuchiya amemkabidhi mkataba huo Mwenyekiti wa Chama Cha Tingatinga, Zack Chimwanda, amesema kuwa kazi hii ya...
10 years ago
Dewji Blog17 Jan
Kampuni ya kielectroniki ya SAMSUNG yamtangaza Vanessa Mdee kama balozi wa kampuni hiyo
Kampuni ya kielektroniki ya Samsung kwa mara ya kwanza imehusisha kampuni hiyo na msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania. Leo hii, Kampuni namba moja duniani inayoongoza kwa technolojia ya hali ya juu, Samsung wanayo furaha kumtangaza balozi wao mpya mwanamziki nyota, na mtangazaji wa Televisheni na radio Vanessa Mdee.
Katika mkutano na wanahabari ulilofanyika hoteli, ya Hyatt Regency, iliyoko mjini Dar es Salaam iliohusisha kusaini kwa mkataba baina ya Vannesa Mdee na uongozi wa kampuni...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA RITHT HERE NCHINI IMEPATA MWEKEZAJI MPYA NA KUPATA UBIA NA KAMPUNI KUBWA YA KIMATAIFA.
Kampuni ya matangazo ya FLAMETREE iliyojikita Africa mashariki sasa imezinduliwa upya na kupewa jina jipya la RIGHT HERE TANZANIA, mabadiliko haya yametokana na kuingia kwa mwekezaji mpya wa kimataifa ambaye ameonyesha nia ya dhati ya kuwekeza kwenye kampuni hii kufuatia utendaji mzuri aliouona kwenye kampuni hiyo na kuamua kuongeza nguvu zaidi katika kuinua utendaji, uwekezaji huu unatarajiwa kuongeza tija na muamko wa wafanyakazi na wateja wao. Kufuatia mabadiliko haya sasa kampuni ya...
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Kampuni ya matangazo ya Right Here nchini yapata mwekezaji mpya na kuingia ubia na kampuni kubwa ya kimataifa
Mshauri Mkuu wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Gerard Govaerts akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari katika Ukumbi wa mikutano katika Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam leo, Kushoto ni Mkuu wa Hati Miliki wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Asnath Heriel na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa RIGHT HERE TANZANIA Jenny Woodier.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es...