Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya kielectroniki ya SAMSUNG yamtangaza Vanessa Mdee kama balozi wa kampuni hiyo

signing-contracts-Swahili

Kampuni ya kielektroniki ya Samsung kwa mara ya kwanza imehusisha kampuni hiyo na msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania. Leo hii, Kampuni namba moja duniani inayoongoza kwa technolojia ya hali ya juu, Samsung wanayo furaha kumtangaza balozi wao mpya mwanamziki nyota, na mtangazaji wa Televisheni na radio Vanessa Mdee.

Katika mkutano na wanahabari ulilofanyika hoteli, ya Hyatt Regency, iliyoko  mjini Dar es Salaam iliohusisha kusaini kwa mkataba baina ya Vannesa Mdee na uongozi wa kampuni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VANESSA MDEE AULA UBALOZI WA SAMSUNG TANZANIA

Kampuni ya kielektroniki ya Samsung imemtangaza Mwanamziki ,Mtangazaji wa Televisheni na Radio Vanessa Mdee kuwa balozi wa Samsung nchini Tanzania.
 Akizungumza leo na waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli Hayyat Regency Jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya kielektroniki ya Samsung,Mike Seo amesema kuwa, "kwa kutambua  ongezeko la uhitaji wa simu za kisasa kwa soko la kati nchini Tanzania ni bora kuwasiliana na wateja wetu kupitia  mtu ambaye amebeba sifa zinazoendana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung yazindua Samsung Galaxy Note 4 Tanzania

Image 1

Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akiwahutubia wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa  Terrace, Slip way.

Baada ya kusubiriwa miezi kadhaa, Kampuni ya kielektroniki ya  Samsung  Tanzania imeongeza  rasmi mwanafamilia mpya katika simu aina ya Note.  Tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Terrace , Slipway ni alama ya uzinduzi rasmi na upatikanaji wa Samsung Galaxy Note  4 katika soko...

 

9 years ago

Bongo5

Mimi na Nahreel ni kama Timbaland na Aaliyah tukiwa pamoja — Vanessa Mdee

Jumatatu ya Oct. 12 ndio siku ambayo hit maker wa ‘No Body But Me’ Vanessa Mdee ataachia single yake mpya ‘Never Ever’. Kwa mara nyingine katika wimbo huo mpya Vee Money amefanya kazi na producer Nahreel wa The Industry, ambaye alifanya naye kazi zake zilizopita na hata zingine ambazo bado hazijatoka. Vee ametoa sababu za […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Faida ya kampuni ya Samsung kupungua

Mauzo katika robo ya pili ya mwaka katika kampuni ya simu ya Samsung huenda yasitimize malengo ya kampuni hiyo.

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee awashauri wasanii kuwekeza kwenye muziki kama yeye, Diamond na Ommy Dimpoz

Hii itakuwa ni wiki nzuri sana kwa Vanessa Mdee ambaye weekend iliyopita alifanikiwa kushinda tuzo ya Afrimma huko Dallas, Marekani pamoja na kuachia wimbo mpya ‘Never Ever’ na video yake. Vee Money ambaye amewashinda Victoria Kimani, Juliana Kanyomozi na Khadija Kopa kwenye kipengele cha ‘Best Female East Africa’, ametoa ushauri kwa wasanii wengine wa Tanzania […]

 

10 years ago

Bongo5

Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee

Mwimbaji wa R&B Jux ameendelea kukana tetesi za kuwa na uhusiano na Vanessa Mdee aka Vee money , ambao wameonekana kuwa karibu sana kwa siku za karibuni. Tetesi hizo zimepelekea watu kuhisi kuwa wimbo wake mpya ‘Sisikii’ alioutoa wiki hii amemuimbia Vanessa. Hii si mara ya kwanza kwa Jux kusemekana kutoa wimbo ambao amemwimbia msichana, […]

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI MPYA WA BODI YA TTCL ATEMBELEA MIUNDO MBINU YA KAMPUNI HIYO

Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Prof Tolly Mbwette, ametembelea miundo mbinu mbali mbali ya Kampuni ya simu Tanzania TCCL katika ziara yake ya kwanza ya kuifahamu vyema kampuni hiyo mara baada ya kuteuliwa kuiongoza bodi hiyo.
Katika salamu zake kwa Menejiment na Wafanyakazi, Prof Mbwette amewataka kuongeza juhudi katika kufanya kazi kwa ufanisi ili kwenda na kasi ya Serikali ya awamu ya tano sambamba na mabadiliko makubwa ya teknolojia katika Sekta ya Mawasiliano...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAANDALIWA FUTARI NA IDARA YA RASILIMALI WATU YA KAMPUNI HIYO

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Idara ya rasilimali watu ya kampuni hiyo  kwa ajiri ya wafanyakazi wake  ikiwa ni sehemu ya  muendelezo wa mfungo wa mwezi  mtukufu wa ramadhani. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani