Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Faida ya kampuni ya Samsung kupungua

Mauzo katika robo ya pili ya mwaka katika kampuni ya simu ya Samsung huenda yasitimize malengo ya kampuni hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Faida ya kutumia ARV kabla CD4 kupungua

NI kawaida katika nchi
zinazoendelea kwa watu waishio na virusi vya ukimwi (VVU) kutoanzishiwa
matibabu ya dawa za kufubaza virusi (ARV) hadi pale kinga za mwili (CD4) zinapopungua na kufikia seli 350 kwa kila milimita moja ya ujazo.

Nchini Tanzania, watu wenye maambukizi ya VVU na wagonjwa wa ukimwi walikuwa hawaanzishiwi dawa za ARV hadi kinga
zilipokuwa zimepungua kufikia seli 200 kwa milimita moja ya ujazo kwa hofu kuwa, kuanzisha matibabu mapema kunafanya matumizi ya ARV kuwa ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung yazindua Samsung Galaxy Note 4 Tanzania

Image 1

Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akiwahutubia wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa  Terrace, Slip way.

Baada ya kusubiriwa miezi kadhaa, Kampuni ya kielektroniki ya  Samsung  Tanzania imeongeza  rasmi mwanafamilia mpya katika simu aina ya Note.  Tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Terrace , Slipway ni alama ya uzinduzi rasmi na upatikanaji wa Samsung Galaxy Note  4 katika soko...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya kielectroniki ya SAMSUNG yamtangaza Vanessa Mdee kama balozi wa kampuni hiyo

signing-contracts-Swahili

Kampuni ya kielektroniki ya Samsung kwa mara ya kwanza imehusisha kampuni hiyo na msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania. Leo hii, Kampuni namba moja duniani inayoongoza kwa technolojia ya hali ya juu, Samsung wanayo furaha kumtangaza balozi wao mpya mwanamziki nyota, na mtangazaji wa Televisheni na radio Vanessa Mdee.

Katika mkutano na wanahabari ulilofanyika hoteli, ya Hyatt Regency, iliyoko  mjini Dar es Salaam iliohusisha kusaini kwa mkataba baina ya Vannesa Mdee na uongozi wa kampuni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Faida za soko la kukuza ujasiriamali na kampuni

KUNA faida nyingi  zitakazopatikana kwa kutumia fursa ya kuanzishwa Soko la Kukuza Kampuni na Ujasiriamali (EGM) katika Soko la Hisa la Dar es Salaam. Ili kujiunga na soko hilo, kuna masharti...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED

Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dr. Servacius Likwelile pamoja na Msajili wa Hazina, Nd. Lawrence Mafuru wakipokea hundi ya mfano ya shilingi Bilioni 3 kutoka Kampuni ya Puma Energy Tanzania Limited iliyokabidhiwa na Mkuu wa Puma Energy Tanzania Limited, Nd. Philippe Corsaletti. Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum akiwashukuru watendaji wakuu wa Puma Energy Tanzania Limited kwa kuwasilisha kwa Serikali gawio la faida la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya vifaa vya kielektroniki Samsung yalenga kukuza uchumi wa jiji la Arusha

Mike-and-Nawaz-Swahili

Kampuni ya Samsung inazindua rasmi  duka kubwa na kituo chake cha huduma kwa wateja lililopo barabara ya Sokoine mjini Arusha siku ya leo. Uzinduzi huo utawawezesha wateja wake wote mkoani Arusha kupata huduma stahiki na bidhaa halisi za Samsung. Kituo hiki ni cha kwanza kuzinduliwa mkoani Arusha na kampuni hii yenye idadi kubwa ya watumiaji na vifaa bora vya kielektroniki ulimwenguni.

“Mtazamo wa maisha ya wateja hubadilika kwa kasi kubwa na kuwafanya kuongeza mahitaji ya bidhaa na huduma...

 

5 years ago

XDA Developers

aodNotify lets you preview notifications on the Samsung Galaxy S20 and other Samsung devices on Android 10

aodNotify lets you preview notifications on the Samsung Galaxy S20 and other Samsung devices on Android 10  XDA DevelopersSamsung Galaxy A31 visits Geekbench, key specs revealed - GSMArena.com news  GSMArena.comSamsung Galaxy A71 review: A beautiful all-rounder mid-range phone  SamMobileSamsung Galaxy S20 Ultra Review: More brawn than brains  Digital TrendsSamsung Galaxy A21 surfaces with an Infinity-O display and quad rear cameras - GSMArena.com news  GSMArena.comView Full coverage on...

 

5 years ago

Michuzi

Tigo yaungana na Samsung kuzindua simu janja aina ya Samsung S20 Tanzania

Meneja wa Bidhaa za Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Muyonga,akiongea katika uzinduzi wa simu aina Samsung S20,pembeni yake ni Meneja wa Samsung Tanzania, Suleiman Mohamed.

Wateja watakaonunua simu hiyo watajipatia Gb78 za intaneti kwa mwaka mzima

Dar es Salaam. Machi 13, 2020. Kampuni inayoongza kwa mageuzi ya kidigitali nchini, Tigo kwa kushirikiana na Samsung Electronics wamezindua Simu janja aina ya Samsung S20 nchini Tanzania.Simu hizo tatu ni Galaxy S20, Galaxy S20+ na Galaxy S20...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani