MAPENZI YAMTESA MLELA
![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxabn0rUAW7aEaWDXztYqW9kvHqALw2w89CLwT0--bQ4bYIbck6xj8LZNvVOQBDt8PsRSkUi*HE1aKwZALSbM183/mlela.jpg?width=650)
Na Rhoda Josiah STAA wa sinema za Kibongo, Yusuf Mlela amesema kuwa hahitaji mwanamke kwa sasa kutokana na wanawake wengi aliokuwanao kuwa waongo. Staa wa sinema za Kibongo, Yusuf Mlela. Akipiga stori na mwandishi wetu, Mlela ambaye ni baba wa mtoto mmoja, alisema hahitaji mwanamke wa aina yeyote kwani wengi wao walimtesa kipindi cha nyuma. “Kwa sasa mwanamke wangu ni pesa tu na kazi yangu ya sanaa na kuwaza juu ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Azam FC yamtesa Pluijm
MSHAMU NGOJWIKE, MORO NA RODRICK NGOWI, MWANZA
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amesema Azam FC ndio timu inayomuumiza kichwa kwa sasa kutokana na wote kuwa na pointi 15 kileleni.
Pluijm alitoa kauli hiyo juzi kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro alipoichapa Mtibwa Sugar mabao 2-0 na kuvunja uteja wa Yanga kutoifunga Mtibwa Sugar mkoani humo ndani ya miaka mitano.
“Lakini kwa sasa nazifikiria mechi zijazo, tunacheza na African Sports na baadaye Azam FC ambayo ndiyo mechi...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Maruhani yamtesa Batuli
NYOTA wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, amesema kila aingiapo kwenye kazi ya kurekodi filamu, anapatwa na tatizo la kupandisha maruhani (mashetani), jambo ambalo linamkosesha raha. Akizungumza jijini Dar es...
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Homa ya mechi yamtesa Goran
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Presha ya uchaguzi yamtesa Dk Kamala
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a8ZZitQ2zfWTJZWZIIrs25VeGyC*7uqWsKrTrY*VGw0h5uFIEgo4kqPOHidagKgUQb4FelpmDeAeb7yFrFJhKSMzRVSuA1x5/FRONTRISASIJMOSI.gif?width=650)
KANSA YAMTESA BABA DIAMOND
11 years ago
Tanzania Daima24 May
UKAWA: Makundi ya urais yamtesa JK
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), unaoundwa na vyama vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi, umesema kuwa Rais Jakaya Kikwete anayumbisha nchi katika mchakato unaoendelea wa kuandikwa kwa katiba mpya kutokana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O3p1FaWf5AeoMEAVJumNNktIBTmUcsLvcmbPTmGyHLnWFstogeQoZKpQvWJL5n5HvTw0jG2dILgEkJRj8KSQrqBkPGbzmMZh/amanda.jpg?width=650)
VIDEO YA MAUNO YAMTESA AMANDA
10 years ago
Bongo Movies11 May
Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.
Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni, Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa
“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...
9 years ago
Bongo Movies16 Aug
Mlela na ‘Kicheche’
Yusuph Mlela ametoa filamu ya ‘Kicheche’ ili kudhihirisha ubora wake katika uongozaji na uigizaji amesema.
Aidha, Mlela ambaye alikuwa akitumika kucheza kazi za wasanii wengine tangu kuingia katika tasnia hiyo, alisema ameamua kufanya kazi zake ili kuongeza kipato.
“Siku zote ukifanya kazi za watu itafikia mahali utakuwa huoni faida. Bora nifanye kazi zangu mwenyewe’,” alisema.
“Sipo tayari kuona wenzangu wanamiliki kampuni wakati na mimi nina uwezo wa kufanya hivyo.”
Chanzo:...