VIDEO YA MAUNO YAMTESA AMANDA
![](http://api.ning.com:80/files/O3p1FaWf5AeoMEAVJumNNktIBTmUcsLvcmbPTmGyHLnWFstogeQoZKpQvWJL5n5HvTw0jG2dILgEkJRj8KSQrqBkPGbzmMZh/amanda.jpg?width=650)
Gladness Mallya VIDEO inayomuonyesha msichana anayefanana kwa sura na umbo na staa wa filamu, Amanda Poshi, imemfanya msanii huyo ajikute katika mateso makubwa kisaikolojia, kwani wengi wanaamini ni yeye. Staa wa filamu za kibongo, Amanda Poshi. Akizungumza na gazeti hili, Amanda alisema ameumizwa sana na video hiyo ambapo mwanamke huyo anakata mauno ya haja kwani imesambaa sehemu mbalimbali kiasi cha baadhi ya watu kuwapigia...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo514 Feb
Exclusive interview na Amanda Swartbooi, model kwenye video ya Show Me ya Harmonize na Mavoko na Coolest Kids in Africa ya Davido
Amanda Swartbooi, ni sura ambayo utaiona sana mwaka huu. Macho ya wengi yalimuona mrembo huyu kwenye video ya Davido na Nasty C, Coolest Kids in Africa na hakika alionesha kuwa ni habari nyingine kwenye fani hiyo. Harmonize na Rich Mavoko wamefanikiwa kumtumia kwenye video ya wimbo wao, Show Me ambaye tayari ameifanya video hiyo iwe gumzo mtandaoni.
Nimemtafuta Amanda na kuzungumza naye mawili matatu ili kumfahamu zaidi. Fuatilia chat yetu hapo chini:
1. When did you start appearing on...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxabn0rUAW7aEaWDXztYqW9kvHqALw2w89CLwT0--bQ4bYIbck6xj8LZNvVOQBDt8PsRSkUi*HE1aKwZALSbM183/mlela.jpg?width=650)
MAPENZI YAMTESA MLELA
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Maruhani yamtesa Batuli
NYOTA wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, amesema kila aingiapo kwenye kazi ya kurekodi filamu, anapatwa na tatizo la kupandisha maruhani (mashetani), jambo ambalo linamkosesha raha. Akizungumza jijini Dar es...
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Azam FC yamtesa Pluijm
MSHAMU NGOJWIKE, MORO NA RODRICK NGOWI, MWANZA
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amesema Azam FC ndio timu inayomuumiza kichwa kwa sasa kutokana na wote kuwa na pointi 15 kileleni.
Pluijm alitoa kauli hiyo juzi kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro alipoichapa Mtibwa Sugar mabao 2-0 na kuvunja uteja wa Yanga kutoifunga Mtibwa Sugar mkoani humo ndani ya miaka mitano.
“Lakini kwa sasa nazifikiria mechi zijazo, tunacheza na African Sports na baadaye Azam FC ambayo ndiyo mechi...
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Presha ya uchaguzi yamtesa Dk Kamala
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Homa ya mechi yamtesa Goran
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a8ZZitQ2zfWTJZWZIIrs25VeGyC*7uqWsKrTrY*VGw0h5uFIEgo4kqPOHidagKgUQb4FelpmDeAeb7yFrFJhKSMzRVSuA1x5/FRONTRISASIJMOSI.gif?width=650)
KANSA YAMTESA BABA DIAMOND
11 years ago
Tanzania Daima24 May
UKAWA: Makundi ya urais yamtesa JK
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), unaoundwa na vyama vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi, umesema kuwa Rais Jakaya Kikwete anayumbisha nchi katika mchakato unaoendelea wa kuandikwa kwa katiba mpya kutokana...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ge9WkNua4TrIj1XiuyTi-iv6DWHXHXZPe0B*lBsmG5H*MSdeEdTRBvMaMXfJk*IQ6vci1GyBXc1nRGB9k6vPsqtozGTAcb9H/Mastaa.jpg)
MASTAA WAKATA MAUNO MBELE YA JK